Alitangulia kujihami lakini, alipoulizwa alijibu yeye yuko cool sasa hivi na hata baada ya mechi atakuwa cool kwa matokea yoyote yale. Alijua watafungwa, alikiri Barca ni wazuri kuzidi wao.Heheh magazeti lazima yamponde sana kesho.
score??
wa mkata hatuoni jamani
bojan to score the 5th one lol...!! Madrid wanajichukulia kadi for fun sasa.
kipa wa real ni mzuri
duh kwelikaka picha ya mwanzo wa thread ka ulitabiri vile....
kwa umbo, sura au tabasamu?Kipa wa Real ni mzuri
Madrid wameshapewa kadi za njano saba wakati Barcelona ni nne.hivi kadi mpaka sasa ngapi?
hahahahahahhahahah....JF bana,kwa lipi sasa!!!!
hahahahahahhahahah....jf bana,
Hilo ni somo kuwa Money can buy good players but money can not buy a good teamis this a video game? Barca wanawafanya nini wenzao?