Kwani timu si kama kampuni tu kwanini ishindikane!!?Hivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?Kwani timu si kama kampuni tu kwanini ishindikane!!?
Aysee hii itauwa vibarua vya makocha weng epl
Ndio kama wana hela[emoji23] [emoji23]Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Mkuu changamoto za Barcelona ni mpaka makocha wakae kwa kutulia la sivyo itakuwa ni kipigo kila mtaaKabla Pep hajaj a EPL maneno kama haya yalisemwa sana. Ukweli ni kuwa Barca italeta changamoto lakini sio kama mnavyofikiria.
Hiyo barca inaweza hata isiguse nne bora!Mkuu changamoto za Barcelona ni mpaka makocha wakae kwa kutulia la sivyo itakuwa ni kipigo kila mtaa
EPL ina timu 20 je huyo barca anaingia kuchukua nafasi ya nani?
Kocha Arsene Wenger wa Arsenal, amesema kama FC Barcelona watakuwa ‘siriaz’ na uamuzi wao wa kuhama La Liga na kucheza Premier League litakuwa jambo zuri lakini wataongeza ugumu kwa kiasi kikubwa.
Barcelona wameonyesha nia ya kujiunga na Premier League kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea nchini humo hasa wao wakionyesha kuunga mkono upande wa Catalonia.
“Sidhani kama wamefikia siriaz kiasi hivyo na kwenda wanataka kuhamia EPL.
“Lakini kama ni kweli basi ugumu utakuwa kwa kila mmoja wetu kwa kuwa tunawajua Barcelona na uwezo wao,” alisema Wenger.
Kwa hisani ya salehe Jembe
Lipuli fc kuhamia la liga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?
Hii kali!Ndio kama wana hela[emoji23] [emoji23]
Ni kitu kidogo tu cadif n swasea ni team za wales zinacheza EPL na wakati zina team yao ya taifa piaHivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
Ila kwa ubaguzi wa weupe sijui kama watakubaliHii kali!
Watakuwa wachumba EPL wataolewa soon
Kocha Arsene Wenger wa Arsenal, amesema kama FC Barcelona watakuwa ‘siriaz’ na uamuzi wao wa kuhama La Liga na kucheza Premier League litakuwa jambo zuri lakini wataongeza ugumu kwa kiasi kikubwa.
Barcelona wameonyesha nia ya kujiunga na Premier League kutokana na hali ya kisiasa inayoendelea nchini humo hasa wao wakionyesha kuunga mkono upande wa Catalonia.
“Sidhani kama wamefikia siriaz kiasi hivyo na kwenda wanataka kuhamia EPL.
“Lakini kama ni kweli basi ugumu utakuwa kwa kila mmoja wetu kwa kuwa tunawajua Barcelona na uwezo wao,” alisema Wenger.
Kwa hisani ya salehe Jembe
Catalonia ambako Bercelona iko wanapiga kura ya kujitenga na Spain,hivyo kwa muda ambao hawana uanachama FIFA inabidi watafute ligi ya kucheza.Siyo berca tu,kuna Espaniola nk.Hivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
dah!Ndio kama wana hela[emoji23] [emoji23]