Barcelona wadaiwa kuhamia EPL, Wenger aanza kuhanya

Barcelona wadaiwa kuhamia EPL, Wenger aanza kuhanya

ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa british

Dawa ni kununua 5 players from british na kuwaweka bench tu😀,,,acheze na wa spain, argentina na only africa's
 
ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa british

Barca ikijiunga epl tarajia mataji yote yakwao.
 
Yaani unaivunja huku halafu unaenda kuianzisha upya kwa jina hilohilo
Kuna utaratibu wake mpaka kucheza ligi kuu, sio disco pesa yako inaongea.. timu ikianzishwa inacheza daraja la mchangani huko.. inapanda mdogo mdogo..
 
Hivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
yeah mbona monaco wanacheza ligi kuu ya ufaransa japokuwa wao kwao n monaco
 
Wangeenda Ufaransa tu maana Catalonia na Ufaransa karibu kama pua na mdomo
 
Glasgow Celtic and Rangers walitaka kwenda kwenye EPL lakini wakaambiwa wanatakiwa waanze kwenye division ya chini sana, kitu ambacho kitafanya watumie miaka mingi kufika kwenye Premier league.
 
Back
Top Bottom