Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa british
ubaya epl hamna weak team km la liga na uku usajili unaendelea kuna kitu kinaitwa financial fair play itasiji vipi wachezaji wa wote w barca uku anunue wachezaji wa5 wa british
Je juventus ya italia inaweza kwenda kushiriki ligi kuu uingereza.. anakwenda kama nani!?Kwani timu si kama kampuni tu kwanini ishindikane!!?
Yaani unaivunja huku halafu unaenda kuianzisha upya kwa jina hilohiloJe juventus ya italia inaweza kwenda kushiriki ligi kuu uingereza.. anakwenda kama nani!?
Kuna utaratibu wake mpaka kucheza ligi kuu, sio disco pesa yako inaongea.. timu ikianzishwa inacheza daraja la mchangani huko.. inapanda mdogo mdogo..Yaani unaivunja huku halafu unaenda kuianzisha upya kwa jina hilohilo
yeah mbona monaco wanacheza ligi kuu ya ufaransa japokuwa wao kwao n monacoHivi timu inaweza kuhama kama taifa moja kwenda jingine (ligi moja hadi nyingine) kama kuhamisha kontena? Tujuzane hapa.
Wangeenda Ufaransa tu maana Catalonia na Ufaransa karibu kama pua na mdomo
Na viwango vya ligi unayotoka vinaangaliwa pia!Kwahiyo Yanga inaweza kuhamia EPL ikiamua?