Barcelona wamtangaza Roberto Martinez kuwa kocha wao mpya

Barcelona wamtangaza Roberto Martinez kuwa kocha wao mpya

Xavi Hernandez hawamwamini???
Kwani huyu Roberto ana maajabu Gani Na ubelgiji yake?
Laporta alidai Xavi hawezi kuwa manager wa Barca maana hajajithibitisha bado.
The deal offered to Xavi ni awe kwanza kocha wa Barca B then ndo apewe ukocha wa Barcelona hapo mbeleni; a proposal ambayo Xavi ameikataa.

Source: Toni Huanmarti
 
Chama langu limepoteana, asepe tu huyo dingi Koeman... Hata akiletwa Zahera au Kishingo, muhimu kwanza asepe huyo mzee
 
barca ka manchester tu hata aondoke kocha kwa sasa uwezo wa wachezaji waliopo sio wa ushindani kiasi iko bado wana safari ndefu tu.
 
Barca hawakujiandaa kama Real Madrid, pindi mastaa wao umri ulipokuwa unapata juu, wao waling'ang'ana na Mesi tu, wakasahau kutengeneza timu.
 
Back
Top Bottom