Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka camp nou , je wamepatia au wamechemka ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It seems.Hii ni tetesi au?
taarifa kamiliHii ni tetesi au?
Laporta alidai Xavi hawezi kuwa manager wa Barca maana hajajithibitisha bado.Xavi Hernandez hawamwamini???
Kwani huyu Roberto ana maajabu Gani Na ubelgiji yake?
Tena recent news zinasema ban haijawa lifted which means yeye bado ni kocha.Hii ni tetesi au?
Nachojua bado Koeman ndio kocha na amekula ban ya game mbili.
Ila Barcelona inaelekea kuwa kama Arsenal.
kinachosubiriwa tu ni kusema Koeman tunakushukuru basiIt seems.
Sijaona official sources bado wakitangaza
Barca timu yangu watakua wanazidisha matatizo tu..Hii ndio taarifa ya sasa kutoka camp nou , je wamepatia au wamechemka ?
Kuna kipindi baadhi ya watu walikuwa wanasema Barcelona inambeba messi sasa hivi tumeona Messi kumbe alikuwa anaibeba BarcelonaHii ni tetesi au?
Nachojua bado Koeman ndio kocha na amekula ban ya game mbili.
Ila Barcelona inaelekea kuwa kama Arsenal.
Kabisa aisee maana toka aje kila siku anatengeneza timu tu!Chama langu limepoteana, asepe tu huyo dingi Koeman... Hata akiletwa Zahera au Kishingo, muhimu kwanza asepe huyo mzee