sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Achana na Barcelona na MSN yao inayoundwa na Messi, Suarez na Neymar au Real Madrid na BBC yake inayosukwa na Balle, Benzema na Cristiano.
Ndani ya ukanda wetu wa CECAFA, kuna kombinesheni imeibuka na imekua gumzo sana. Kombinesheni hii akikukosa mmoja.. mwingine ana wewe.
Kombinesheni hii ambayo kuizuia isilete maangamizi kwa wapinzani, ni sawa na kuzuia maji ya mto yasitiririke.. imepewa jina la KIAMA inatoka Simba S.C.
Inaundwa na;
1. Kichuya ~ [KI]
2. Ajibu ~ [A
3. Mavugo ~ [MA].
Hebu tuifuatilie kwa umakini na utulivu Mkubwa.. Katika VPL msimu huu, KIAMA wamefanya nini?
1. Idadi ya mechi zilizochezwa: 8
2. Jumla ya magoli waliyofunga kwa pamoja: 12
3. Wastani wa magoli wanayofunga kila mechi: 1.5 (2)
Hapa tunaona katika kila mechi, ambapo KIAMA wanakuwepo uwanjani lazima wafunge goli 2 au zaidi wao pekee.. Hapo bado kina Blagnon, Ndemla, n.k nao hawajahamia nyavuni... wale ambao mlifungwa chini ya goli mbili mna bahati sana.
15.10.2017.. KIAMA kitashuka Uwanja wa Uhuru.. Kitakua kikigawa dozi yake kwa vijana wa Mecky Mexime, Kagera Sugar.. Dozi hii nadhani itakua ni vidonge vitatu na kuendelea... na hii itatokana na mgonjwa atakavyokuja hiyo kesho.