technically JF-Expert Member Joined Jul 3, 2016 Posts 13,718 Reaction score 58,893 Oct 17, 2026 #1 Hii timu kila mwaka ina watoto lakini kila mwaka ina combination hatari kwenye Laliga inasumbua. Hawasajili hata mchezaji mmoja wa pound 100 million Kama zilivyo timu nyingi mbovu Lakini wanasumbua na watoto wao wanafanyaje kuliko man u, Madrid, mancity na wengine Sioni timu ya kucheza nao ulaya labda psg pekee kwa Msimu huu. Wanawezaje wao?
Hii timu kila mwaka ina watoto lakini kila mwaka ina combination hatari kwenye Laliga inasumbua. Hawasajili hata mchezaji mmoja wa pound 100 million Kama zilivyo timu nyingi mbovu Lakini wanasumbua na watoto wao wanafanyaje kuliko man u, Madrid, mancity na wengine Sioni timu ya kucheza nao ulaya labda psg pekee kwa Msimu huu. Wanawezaje wao?
Trimmer JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 2,796 Reaction score 4,901 Oct 17, 2026 #2 La Masia,, mambo mengine ni deep sana mkuu,, nikipata muda nitarudi,,
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Oct 17, 2026 #3 Aiseeeee
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 6,772 Reaction score 15,651 Oct 17, 2026 #4 Mchawi ni La masia. The best football academy in the world. Hapo La masia hawazalishwi wachezaji tu bali wachezaji wanapikwa na kujengwa kuelewa mifumo ya soka na kucheza kwa akili kubwa na nguvu ndogo.
Mchawi ni La masia. The best football academy in the world. Hapo La masia hawazalishwi wachezaji tu bali wachezaji wanapikwa na kujengwa kuelewa mifumo ya soka na kucheza kwa akili kubwa na nguvu ndogo.
A abdulian Member Joined Sep 23, 2026 Posts 33 Reaction score 74 Oct 17, 2026 #5 Refer messi alivovutwa kwenda juu japo alikuwa dwarf ila uwezo mkubwa