Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Mbona timu yake ya Taifa ya Argentina inapigwa katika mechi za kombe la Dunia? Au huyo huwa Mesi wa kuchongwa? Barca ni nzuri sababu ya combination ya wachezaji wengi wazuri bhana.
Mfumo Wa barca sio mfumo Wa timu ya taifa ya Argentina(messi)
Mfumo Wa Genk sio saws na mfumo Wa Taiga stars(samatta)
 
Makosa haya yanajirudia sana kumbuka hii ndio game ya 4 tunapoteza katika msimu huu wrote makombe yote
Game zote tulizopigwa tulifungwa kwa style hii ya kudharau match hakuna pahala tulizidiwa,sasa Jana tumekuja kuamka zilipofika 3-3
Pia tukubali tu tusajiri beki na messi awe na watu pembenipembeni wengi waliosajiriwa karibuni ni magarasa....bora hats Paulinho angesalia klabuni.....yaani tunauza wachezaji wazuri tunasajiri vituko!
Mimi nasema pale kuna watu wswajibishwe kwa uzembe...kuanzia ma scouts hadi benchi LA ufundi
 
Hapana nou camp tulikua vizuri tulicheza kutafuta ushindi ila game hii ya Jana tulicheza tu kama vile tunakamilisha ratiba liver wakacheza do or die
 
Vip kuhusu mwaka jana mlivyotolewa na ROMA???...vip tena mlivyotolewa na JUVE mwaka juzu....Nyinyi mechi za ugenini ni mamburura...
Ni uzembe unaojirudia ndio maana nasema kunatakiwa watu wawajibishwe pale
 
Sababu engine tumefungwa kisaikolojia tu Mwalimu Wa saikolojia barca nae atimuliwe!....kama kuna watu walioipa ushindi liver Jana basi usishangae nikwambie kuwa ni wale nyota ambao walikua nje Jana kwa maana ya Mohd Salah na wenzie,hawa wangecheza barca ingeweza shinda amin usiamini!
 
Barcelona hii ndio kwisha habari yake, tatizola kumtegemea mtu mmoja!
Mechi zote mbili kiukweli liver kastahili, tiktak never exists sasa hivi kwa barca!Enzi za xavi na Iniesta mpira unautafuta kwa tochi wakati kuna jua kali, sasa hivi possession sio brand ya barca tena!
Wakija shtuka kutengeneza timu, real keshaamka maananao wanaanza jenga timu sasa!
 
Atakayekupinga hili mwambie aambatanishe na statistics maana Mawatu mengine ni majinga jinga yanapinga hadi ukweli.
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Kabla ya Messi kulikuwa na Ronaldinho
 
Ona Sasa matatizo ya kubet haya
 
"Hata mimi nilijua tu Liva atashinda lakini fainali haendi maana ilikuwa ngumu kuamini kuwa wataweza kumzuia Messi asifunge goli hata moja.
Vile vile baada ya Juve, Real Madrid , Man City na Bayern kutolewa tuliamini ubingwa ni wetu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…