Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Mbona timu yake ya Taifa ya Argentina inapigwa katika mechi za kombe la Dunia? Au huyo huwa Mesi wa kuchongwa? Barca ni nzuri sababu ya combination ya wachezaji wengi wazuri bhana.
Mfumo Wa barca sio mfumo Wa timu ya taifa ya Argentina(messi)
Mfumo Wa Genk sio saws na mfumo Wa Taiga stars(samatta)
 
Wakuu!ndio tushapoteza hivyo,haina haja ya kuanza kublame hiki na kile.ile chance ya dembele nilijua itatucost mwaka mzima asee.na jana ilikuwa ni hivyo hivyo watu wanamiss clear chance.huu ndio mpira sasa huwezi kushinda daily ni must kuna siku bahati haitodondoka upande wako,SO KEEP IT UP BARCA [emoji1548][emoji1548][emoji1548].
Makosa haya yanajirudia sana kumbuka hii ndio game ya 4 tunapoteza katika msimu huu wrote makombe yote
Game zote tulizopigwa tulifungwa kwa style hii ya kudharau match hakuna pahala tulizidiwa,sasa Jana tumekuja kuamka zilipofika 3-3
Pia tukubali tu tusajiri beki na messi awe na watu pembenipembeni wengi waliosajiriwa karibuni ni magarasa....bora hats Paulinho angesalia klabuni.....yaani tunauza wachezaji wazuri tunasajiri vituko!
Mimi nasema pale kuna watu wswajibishwe kwa uzembe...kuanzia ma scouts hadi benchi LA ufundi
 
Wana Barca,mnaweza kujadili ile mechi ya kwanza??Mimi niliona Barcelona alipata matokeo bora lakini ukitizama game nzima Barca ilikuwa dhaifu sana,Kuna wakati Barca alizidiwa possession kubwa tu,kuna wakati Barca ilipaki basi,Barca walicheza dk 20 tu za mwisho.Udhaifu ulikuwapo tangu game ya mwanzo ila matokeo yalifunika udhaifu
Hapana nou camp tulikua vizuri tulicheza kutafuta ushindi ila game hii ya Jana tulicheza tu kama vile tunakamilisha ratiba liver wakacheza do or die
 
Vip kuhusu mwaka jana mlivyotolewa na ROMA???...vip tena mlivyotolewa na JUVE mwaka juzu....Nyinyi mechi za ugenini ni mamburura...
Ni uzembe unaojirudia ndio maana nasema kunatakiwa watu wawajibishwe pale
 
Sababu engine tumefungwa kisaikolojia tu Mwalimu Wa saikolojia barca nae atimuliwe!....kama kuna watu walioipa ushindi liver Jana basi usishangae nikwambie kuwa ni wale nyota ambao walikua nje Jana kwa maana ya Mohd Salah na wenzie,hawa wangecheza barca ingeweza shinda amin usiamini!
 
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .

(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?
Barcelona hii ndio kwisha habari yake, tatizola kumtegemea mtu mmoja!
Mechi zote mbili kiukweli liver kastahili, tiktak never exists sasa hivi kwa barca!Enzi za xavi na Iniesta mpira unautafuta kwa tochi wakati kuna jua kali, sasa hivi possession sio brand ya barca tena!
Wakija shtuka kutengeneza timu, real keshaamka maananao wanaanza jenga timu sasa!
 
Atakayekupinga hili mwambie aambatanishe na statistics maana Mawatu mengine ni majinga jinga yanapinga hadi ukweli.
Wana Barca,mnaweza kujadili ile mechi ya kwanza??Mimi niliona Barcelona alipata matokeo bora lakini ukitizama game nzima Barca ilikuwa dhaifu sana,Kuna wakati Barca alizidiwa possession kubwa tu,kuna wakati Barca ilipaki basi,Barca walicheza dk 20 tu za mwisho.Udhaifu ulikuwapo tangu game ya mwanzo ila matokeo yalifunika udhaifu
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Watu ni wepesi sana wa kusahau matukio. Mnajuwa Barca kabla ya Messi haikuwa timu ya maana Ulaya, walikuwa ni vibonde mno kila timu ilikuwa inajpigia tu. Messi ndiye aliyeifanya Barca kuwa ilivyo hivi sasa, kama hachezi vizuri Barca hakuna kitu. Jana aliyumba sana na alidhibitiwa ile mbaya. Kwa kifupi, Barca bila Messi si timu.
Kabla ya Messi kulikuwa na Ronaldinho
 
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .

(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?
Ona Sasa matatizo ya kubet haya
 
"Hata mimi nilijua tu Liva atashinda lakini fainali haendi maana ilikuwa ngumu kuamini kuwa wataweza kumzuia Messi asifunge goli hata moja.
Vile vile baada ya Juve, Real Madrid , Man City na Bayern kutolewa tuliamini ubingwa ni wetu"
 
Back
Top Bottom