Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Salute, hawa jamaa hua wanaamini messi ama ronaldo ndo hushinda mataji wao binafsi na sio kuangalia team nzima. Mwisho wa siku wanaishia kuaibika na kuanza kusema oooh hakuna barca bila messi ooooh hakuna madrid bila ronaldo wtf, hawajui barcelona hao hao wakiwa wametimia na wakiwa na kocha wao pep waliingia final mara mbili tu kipindi ambacho messi, xavi, iniesta and co walikua fireee leo wanalazimisha achukue uefa kwa lipi?, ronaldo na madrid wamesugua gaga tangia 2009/10-2012/13 hawaijui final leo wanaona kutofika final ni ajabu ama timu zao hazijifikia mafanikio tena jambo ambalo kwenye soka ni umbugila
 
Aisee! De Lima hana Uefa Cup?

Real Walipowafunga Bayern Leverkusen Fainali ya CL kwa goli kali la Zidane inaonesha ulikuwa Biharamulo Shule ya Msingi.
mkuu leo umeteleza fanya uinuke haraka kabla ya watoto hawajarudisha makombora
 
Unaajiabaragua, eti dunia nzima, Man utd ndio dunia nzima. Amka wewe.
Sio kweli 90%dunia nzima hawajaamini ndio maana hats wachezaji Wa liver wametoa machozi,sema ukweli
Na watu wameshindwa kutoka uwanjani mpira ulivyoisha sio anfield sio Tanzania kwenye tv vibanda umiza hawaamini!
 
Mkuu...Samahani kwa hili...sidhani kama hiyo comment uliyoijibu umeisoma vizuri naomba uipitie tena kisha ucomment...kama ukipenda.
Pili...Sidhani kama nimewahi kuandika au kumwambia mtu yeyote kama mimi ni fan wa Messi usinilishe maneno au kama unilishi maneno basi usiongozwe na hisia unafeli...ungeniuliza kwanza.
 

First leg dembele wa kulaumiwa
Second Leg Cotinho na Suarez wa kulaumiwa.

Cotinho kasajiriwa kwa pesa ndefu ambyo aiendani na kiwangochake. Bora auzwe tu hana msaada kwenye tim.

Neimar ndio yaleyale tu, kwani wakati anachza barca kitugan chamaana alikifanya? Zaidi ya kupakuliwa magoli na Messi,
 
Afadhali Neymar alikua na madhara na apatapo nafasi ni nadra kuipoteza si kama suarez alivyo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…