Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Kwanza usitake kutuaminisha kua mafanikio ya Barca yanatokana messi tu. Xavi na Iniesta wamplay key role kwenye yale mafanikio. Na nakupa chalenge Messi will never win Champion League again without Xavi and Iniesta unless Barca wa invest alot in new stars.

Lapili since 2015 tunamaliza msimu wa 4 huu Barca haijafika ndani ya Champion League Final , Yuko wapi huyo Messi wako mkuu?
Mataji yanashindwa na timu nasio mchezaji mmoja. Kama mchezaji mmoja anatosheleza kushindisha timu mataji mbona huyo messi amekua akistraggle for the last 15 years with Argentina?

Na Barca was big deal even before hata huyo Messi Hajazaliwa.hao kina Ronaldinho, Ronaldo, Figo, Maradonna, Romario, Cruyff, Rivaldo wote walipita Barca kwa kuwa ilikua ni moja timu Kubwa na Yenye heshima Barani Ulaya.

ILa nafahamu ni ngumusana kufahamu wewe 2000's Boy
Salute, hawa jamaa hua wanaamini messi ama ronaldo ndo hushinda mataji wao binafsi na sio kuangalia team nzima. Mwisho wa siku wanaishia kuaibika na kuanza kusema oooh hakuna barca bila messi ooooh hakuna madrid bila ronaldo wtf, hawajui barcelona hao hao wakiwa wametimia na wakiwa na kocha wao pep waliingia final mara mbili tu kipindi ambacho messi, xavi, iniesta and co walikua fireee leo wanalazimisha achukue uefa kwa lipi?, ronaldo na madrid wamesugua gaga tangia 2009/10-2012/13 hawaijui final leo wanaona kutofika final ni ajabu ama timu zao hazijifikia mafanikio tena jambo ambalo kwenye soka ni umbugila
 
Aisee! De Lima hana Uefa Cup?

Real Walipowafunga Bayern Leverkusen Fainali ya CL kwa goli kali la Zidane inaonesha ulikuwa Biharamulo Shule ya Msingi.
mkuu leo umeteleza fanya uinuke haraka kabla ya watoto hawajarudisha makombora
 
Unaajiabaragua, eti dunia nzima, Man utd ndio dunia nzima. Amka wewe.
Sio kweli 90%dunia nzima hawajaamini ndio maana hats wachezaji Wa liver wametoa machozi,sema ukweli
Na watu wameshindwa kutoka uwanjani mpira ulivyoisha sio anfield sio Tanzania kwenye tv vibanda umiza hawaamini!
 
Kwani madrid ya kina gento, di stefano na ferenc puskas imewahi kujirudia tena? Je madrid imeshindwa kutawala tena soka la ulaya baada ya kina puskas kuondoka na miujiza yao?, hakuna mchezaji wa kuziba pengo la mchezaji maarufu hakuna ila kisiwe kigezo cha kudhani fulani akiondoka na klabu au soka ndo limekwisha. Hapo ndo mnayumba nyie messi fans
Mkuu...Samahani kwa hili...sidhani kama hiyo comment uliyoijibu umeisoma vizuri naomba uipitie tena kisha ucomment...kama ukipenda.
Pili...Sidhani kama nimewahi kuandika au kumwambia mtu yeyote kama mimi ni fan wa Messi usinilishe maneno au kama unilishi maneno basi usiongozwe na hisia unafeli...ungeniuliza kwanza.
 
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .

(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?

First leg dembele wa kulaumiwa
Second Leg Cotinho na Suarez wa kulaumiwa.

Cotinho kasajiriwa kwa pesa ndefu ambyo aiendani na kiwangochake. Bora auzwe tu hana msaada kwenye tim.

Neimar ndio yaleyale tu, kwani wakati anachza barca kitugan chamaana alikifanya? Zaidi ya kupakuliwa magoli na Messi,
 
Afadhali Neymar alikua na madhara na apatapo nafasi ni nadra kuipoteza si kama suarez alivyo sasa
First leg dembele wa kulaumiwa
Second Leg Cotinho na Suarez wa kulaumiwa.

Cotinho kasajiriwa kwa pesa ndefu ambyo aiendani na kiwangochake. Bora auzwe tu hana msaada kwenye tim.

Neimar ndio yaleyale tu, kwani wakati anachza barca kitugan chamaana alikifanya? Zaidi ya kupakuliwa magoli na Messi,
 
Back
Top Bottom