Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Barcelona Wenzangu Hebu Tutete Kidogo

Watu ni wepesi sana wa kusahau matukio. Mnajuwa Barca kabla ya Messi haikuwa timu ya maana Ulaya, walikuwa ni vibonde mno kila timu ilikuwa inajpigia tu. Messi ndiye aliyeifanya Barca kuwa ilivyo hivi sasa, kama hachezi vizuri Barca hakuna kitu. Jana aliyumba sana na alidhibitiwa ile mbaya. Kwa kifupi, Barca bila Messi si timu.
Acha uongo wewe mwaka 2006 wakati Barca anachukua kombe Messi alicheza namba ngapi? Kwa taarifa yako Barcelona ina jumla ya wachezaji sita au zaidi waliochukua uchezaji bora wa dunia wakiwa hapo....Halafu kwa kukumbusha tu hapo Barca kacheza Ronaldinho kacheza Ronaldo kacheza Figo,Eto kwenye ubora wake Romalio na wengi tu..Barca ni timu kubwa kitambo tu hata Maradona Diego kapita hapo..
 
Mwangalieni mpuuzi huyu jamani, tafadhali Mods mpigeni ban huyu nyau. Sasa wewe unakuja hapa kubisha ama kujifunza? Ni hivi, Messi alikuwepo Barca that time ila hakucheza ile fainali kwa sababu alikuwa kaumia goti.
 
Mi nimekwambia Messi hakuwepo au nimekuuliza namba aliyocheza?....ni hivi Messi hakua Mfalme kulikua na Gaucho na wengineo kama Eto'o nk.Messi hakucheza fainali na hakuna aliyeshangaa wala aliyejali na kombe wakachukua.
Badala ya kustick kwenye mada umebaki unarukaruka mara mpuuzi...mara Mods..Mara ban.."Faggot"
 
Sijalala hadi saa 9 usiku huu sijaamini kilichotokea,hivi kweli?
Tukubali hapa tumefungwa kizembe japo uwezo tulikua nao,sababu nilioziona
(1) Over confidence-tuliamini kuwa game
Ile ilishakwisha,tukacheza kwa Ku relax
Liver wao wakacheza Do or Die....
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an
ajituma mno.
(3). Ule Uzi Wa njano ni mikosi Siku zote .

(4). Kuna baadhi ya wachezaji wengi ni m
Mizigo sijui wanasajiri vipi?
Lenglet,Arthur,Suarez, G.Pique hawa ni
Bora wauzwe wote tumrudishe
Neymar mmoja ni wazito sana hawa,akina boateng,tornado,vermalen,yule mbrazil kwanini waliletwa ikiwa uwezo chini?
Nimeumia sana kupoteza tonge mdomoni na kwa hili na uzembe wote huu kocha huyu anapaswa kujiuzuru,Liver hawaamini kama wameshinda kila mtu haamini!!!
Vipi maoni yenu barca wenzangu?
Hiyo mechi imeuzwa kwa wacheza kamari. Mpunga waliovuta Barca unazidi ambao wangepata kama wangebeba kombe,

hutaki acha
 
Acha uongo wewe mwaka 2006 wakati Barca anachukua kombe Messi alicheza namba ngapi? Kwa taarifa yako Barcelona ina jumla ya wachezaji sita au zaidi waliochukua uchezaji bora wa dunia wakiwa hapo....Halafu kwa kukumbusha tu hapo Barca kacheza Ronaldinho kacheza Ronaldo kacheza Figo,Eto kwenye ubora wake Romalio na wengi tu..Barca ni timu kubwa kitambo tu hata Maradona Diego kapita hapo..

Kabla Messi hajaanza kucheza timu ya wakubwa Barca ilikuwa imechukua UEFA mara moja tu mwaka 1991.

Messi toka aanze kucheza timu imechukua mara 4, 2006, 2009, 2011 na 2015, hizo tatu za mwisho Messi akiwa ni key player.

Na kwa haraka sana, sioni Barca wakijiandaa na maisha baada ya Messi.
 
Ni kweli mkuu..hata mimi siioni Barca baada ya Messi...ila naiona Barca kama Club hata kabla ya kufika Messi ukiacha swala la kuchukua makombe mengi ndani ya uwepo wake...naamini kwenye bahati pia...mfano Messi tunayemzungumzia kama mchezaji hatari kuwahi kutokea hana World Cup na kwa umri wake na ninavyoiona Argentina sijui itakuwaje ila sioni akilibeba.Pia mchezaji kama Ronaldo Delima hana Uefa Cup hata moja pamoja na kucheza timu kubwakubwa ulaya....mchezaji kama Ronaldinho kwa muda mfupi tu amebeba vikombe vyote.
Naiona Barcelona baada ya Messi ikipitia wanapopita Ac Milan kwani siwaoni manguli wa soka tena hapo Barca kama ilivyokua zamani.
 
Messi is the biggest thing to ever happen in football, let alone to Barcelona.

Football being a team game, the particular prized asset should be sorrounded with the right resources to harness it's uniqueness.

Kumbuka combination ya Messi, Xavi na Iniesta, hiyo ilikuwa ni combination ya maajabu. Baada ya puzzle hiyo kuisha, maajabu yameisha pia.

Barca wanajaribu sana kufanya sajili kadhaa kuiweka juu kimataifa, lakini bado inashindikana.

Nasubiri kuona baada ya Messi Barca itakuwaje, tayari tumeiona Madrid baada ya Ronaldo atleast msimu huu.
 
Messi...Xavi...Iniesta...Bousquet...Puyol...Pique...Alves....Abidal...Pedro...Villa...Valdes...chini ya kocha fundi Pep Guadiola.
Sijawahi kuona kikosi katika maisha yangu kikipiga soka kama hiki....Hakuna timu iliyothubutu kufunguka lazima ukae nyuma kuzuia...mpira wanacheza wao tu na wapinzani wanageuzwa con za mazoezi tu...tik tak ilichezwa kwenye its climax chini ya engeneer Xavi...Messi akiamua anapita watu hata watano na ndipo mitindo ya kuchop ilipoonekana rahisi... Casilas akaonekana kipa wa kawaida...Madrid ikaonekana kama Huesca tu kwa Barca...
Nikikumbuka Mechi ya Madrid 0 Barca 5 au ile ya Barca 3 Man U 1...huwa nabaki speechless...Barca walipata kizazi cha dhahabu hasa Messi,Xavi na Iniesta,sijui watafanya lini tena hivyo.
 
True, ni lifetime event.

Haiwezi kujirudia Barca ya namna hiyo tena kwenye kizazi chetu hiki.

Labda kama Pep atampata Messi wake, anaweza kuitengeneza copy ya Barca huko aliko. Banati mbaya kumpata Messi mwingine ni habari ngumu pia.
 
Dah! unahitaji kuwa na zaidi ya Messi kupata kikosi kile...kumbuka hata Spain yenyewe kama taifa ilitikisa ulaya na dunia kiujumla....Key players wengi wa Spain ndo walikua kwenye ile Barcelona...Xavi...Iniesta...Bousquet..Puyol...Pique...Villa..
Messi angekua Spain sijui ingekuwaje tena.
Ila Pep kwenye kikosi chake cha wachezaji kumi na moja aliowahi kuwafundisha kote yaani Barca..Bayern na Man City...City alimtaja mmoja tu zeruzeru Kelvin de bruyne..Bayern walikua watatu kama sijakosea nimewasahau ila Robben na Neuer wapo...hapo ndo utaona kuwa kule Barca alipata lulu nyingi sana ukiacha Messi.
 
Ile ilikuwa system, ndiyo maana iliweza kuchukua 2 Euro Cups na WC bila Messi, ila Messi hajaweza kufanya kitu kwenye timu ya taifa kwa sababu system haikuwepo.
 
Ile System achana nayo wale walikua wote academy moja na walikua na vipaji sana ndo mana wakafanikiwa kucheza pamoja wakiongezewa mafundi wachache tu...lazima wajuane tu.
 
Kama hawa Ajax wangekuwa na financial muscles za kuwalinda wachezaji wao hawa, ingekuwa ni timu kubwa kwa kipindi cha miaka hii kumi.

Sema wao wanazalisha kwa ajili ya kuuza.
 
(2) Ubaguzi Wa kuwatenga wac
hezaji weusi nayo imetukosti,Dembele
japo alikua majeruhi Ila anatengwa na
ndio kisa walimpanga mechi ya ligi isiy
o na tija akaumia..tumemkosa Jana
Semedo anaingizwa baada ya kuona
mambo yashaharibika wakati dogo an

ajituma mno.

Hapa ndipo ulipoonesha Ujinga wako
 
Watu ni wepesi sana wa kusahau matukio. Mnajuwa Barca kabla ya Messi haikuwa timu ya maana Ulaya, walikuwa ni vibonde mno kila timu ilikuwa inajpigia tu. Messi ndiye aliyeifanya Barca kuwa ilivyo hivi sasa, kama hachezi vizuri Barca hakuna kitu. Jana aliyumba sana na alidhibitiwa ile mbaya. Kwa kifupi, Barca bila Messi si timu.

Acha porojo za ovyo, Messi alikuwa akiwaona kina Ronaldinho na Deco wakinyanyasa watu Ulaya.
 
Kuhusu la wachezaji eti wauzwe hilo hapana ila kuhusu jezi ni kweli tuna mkosi nazo. Na wachezaji weus ni kweli ubaguz upo wa waziwazi na hata Dembele tunamuona anacheza hovyo ni sababu wanamsugulisha benchi sana

Siwez kulaumu magoli mawili ya mwisho sababu ni makosa ya kimpira ila goli la kwanza na la pili yote ni uzembe wa mabeki sababu mara zote wamekuwa wakirudisha mpira nyuma pasipo maana

Lingine kuna nafas adimu zilijitokeza za wazi kipind cha kwanza ila wote wanaogopa kupiga wanamsubiri had wampe Messi apige

Kuhusu Messi alijitahd japo bahat haikuwa yake japo alipata nafas moja ya wazi badala ya kupiga yeye anaupaka mpira rangi

HITIMISHO tujipange kwa msimu ujao ila Barca itabakia kuwa club bora duniani na Messi atabakia kuwa mchezaji hatar kuwahi tokea duniani japo tumetoka kizembe

Hivi kama Barca ni wabaguzi, Walitoaje 105 milion kwa kumsajili Dembele? Ficheni Ujinga wenu
 
Ni kweli mkuu..hata mimi siioni Barca baada ya Messi...ila naiona Barca kama Club hata kabla ya kufika Messi ukiacha swala la kuchukua makombe mengi ndani ya uwepo wake...naamini kwenye bahati pia...mfano Messi tunayemzungumzia kama mchezaji hatari kuwahi kutokea hana World Cup na kwa umri wake na ninavyoiona Argentina sijui itakuwaje ila sioni akilibeba.Pia mchezaji kama Ronaldo Delima hana Uefa Cup hata moja pamoja na kucheza timu kubwakubwa ulaya....mchezaji kama Ronaldinho kwa muda mfupi tu amebeba vikombe vyote.
Naiona Barcelona baada ya Messi ikipitia wanapopita Ac Milan kwani siwaoni manguli wa soka tena hapo Barca kama ilivyokua zamani.
Messi atafia Barcelona
 
Back
Top Bottom