Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Penati zote ni za halali mkuu. Barcelona wamekomaa kisaikolojiaWatu wakununua game hawa
Utawaweza co
Kwa zle penalty za uongo
Penalt za figisufigisu tuPenati zote ni za halali mkuu. Barcelona wamekomaa kisaikolojia
Si kweli. Ni penati halali. Ujinga wa PSG ulikuwa ni kulinda muda woteZile penalty mbili zote hakuna penalty halali ila matokeo yalikuwa ni 4-1
Mkuu,acha wivuPenalt za figisufigisu tu
HAKUNA PENALTY HATA MOJA YA HALALI KATI YA ZILE MBILI,TUSIONGEE KISHABIKI.Si kweli. Ni penati halali. Ujinga wa PSG ulikuwa ni kulinda muda wote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Watu wakununua game hawa
Utawaweza co
Kwa zle penalty za uongo
Ukweli Utabakia....Ila Suarez Ni mwongo sana yule dogo[emoji16] [emoji16] [emoji16]Mkuu,acha wivu
basi psg kapitaZile penalty mbili zote hakuna penalty halali ila matokeo yalikuwa ni 4-1
dua la kukuSerious siyo kila record ni ya kushangilia, kuna baadhi ya wanariadha wamewahi kuvunja record baada ya miaka kadhaa ilibainika walikuwa wakitumia dawa za kuongeza nguvu, hilo likapelekea kufutwa kwa record zao. Hata hii ya Barcelona time will tell ngoja tusubiri tu
Zote ni halali na magoli ni halali. Ina maana Suarez na Neymar hawakuangushwa eneo la hatari? Kuwa mkweliHAKUNA PENALTY HATA MOJA YA HALALI KATI YA ZILE MBILI,TUSIONGEE KISHABIKI.