Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Nadhani mmesikia kilicho mpata Refa Wenuuu....
Hakijampata chochote...Sema pro.Madrid magazett na vyombo vyao vmeandika mbofu mbofu sana leo.. Ila wajureman wao wamemsupport refa na maamz yake na wamesema alikua sawa
 
Hakijampata chochote...Sema pro.Madrid magazett na vyombo vyao vmeandika mbofu mbofu sana leo.. Ila wajureman wao wamemsupport refa na maamz yake na wamesema alikua sawa
Lisemwalo lipo.........Yangekuwaa magazeti ya bongo nisinge amini
 
Lisemwalo lipo.........Yangekuwaa magazeti ya bongo nisinge amini
Wajureman wameshampa na mech ya kuchezesha...kesho atakua anachezesha....

Aisee hii game ya juve na Milan mpira unapigwa mwing kwel kwel...yaan Milan wana react kwel
 
0c83ecdc3235683384ddd68e0d55a98e.jpg
mkuu jaribu kuangalia hyo deceiving faul.yaan n very professional
 
Hii ndo ilitafutwa na sio ya neymar...ya neymar ilikua n clear penalt...
 
Kuna wengne hata hii walisema hata hil goal n offside...yaan haters bana wana matatzo
 
Back
Top Bottom