Kubebwa anabebwa anae juwa, na kunyongwa ananyongwa alie tayar kunyongwa, kwanin psg hawakukomaa km chelsea alivo wakomalia barcelona uwanja ulele, akafuzu kwa style ambayo dunia mpaka leo haijabahatka kuelewa. Kwa kuwa team captain John terry alpgwa kadi nyekundu kpindi cha kwanza lakn chelsea wakiwa na mtaji wa goli moja maliweza kulnda mtaj wao na kuondoka na matokeo yalyo weza kuwavusha kwenda final. Kwa mtazamo wangu psg hawakuwa wamejiandaa kwenye hatua inayofata ndiyo maana walikubal kupoteza mtaji wao wa bao 4 sufur kizembe xana