Barcelona yaichanachana PSG, yaweka rekodi mpya Ulaya

Inaonekana unamapenzi na Barca sana lakini zile penati mbili za harakaharaka katika dakika za majeruhi zilikuwa sio sahihi jamaa walinunua gemu ile
Mkuu unajua kucheza mpira....? Je unazijua sheria za fifa za mpira wa miguu...? Je ww n mshabk fuata benderaa...? Mnatuchosha sana... Kwa hal hii soka la tanzania haliwez kuendelea
 
Wale wachambuzi wamecheza soka la kulipwa, wanazijua sheria za soka, na saizi wamestaafu wanachambua soka, sasa si heri ni waamini wao kuliko wewe shabiki wa Man Utd
Mkuu wewe bado una zile za kuamini watu wa ulaya na haujui kuwa hata ulaya kuna omba omba Wazungu... Usiamini sana uchambuzi mwingine umekaa kishabiki zaidi maana kwa vitu vinavyo onekana wazi havihitaji uchambuzi majibu yake huwa ni pale pale ndio maana vyama vya Soccer huwatetea waamuzi kuwa ni makosa ya kibinadamu but tunavyoenda mbele ujinga unaendelezwa na Barcelona hautakuwepo tena technology itachukua mkondo na kila mtu atatoka na furaha iwe kashinda au kafungwa lakini sio upumbavu huu unaooneshwa sasa na Marefa... Hao Wachezaji kwanza wazushi wao walikuwa wanalalamika sana walipokuwa wanacheza ati leo ndio nguzo yako ya kuwaamini kha!

Rio Ferdinand blasts referee Viktor Kassai after denying Raheem Sterling and Manchester City a penalty against Barcelona as Graham Poll says call was unfair on Pep Guardiola's side

Read more: Rio Ferdinand blasts referee Viktor Kassai after denying Raheem Sterling and Manchester City a penalty against Barcelona as Graham Poll says call was unfair on Pep Guardiola's side | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
PNC upo mbona umwagi kali zako maana Utamu wa Soccwer Kubishana😀😀😀😀 Refaree leo kalalamika kwa Messi kuna Kunguni 😀😀😀
 
  • Thanks
Reactions: PNC

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu nimecheka saaaaana unajua maneno yote yameniisha yani leo muda wote nafurahi tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
B
A
R
C
E
L
O
N

Mkuu Kubahatisha lazima Ufurahi hadi kupitiliza Mshukuru Refa sana... na endapo ikatokea mkabeba Kombe refa wa jana asikose Medal pls
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu Kubahatisha lazima Ufurahi hadi kupitiliza Mshukuru Refa sana... na endapo ikatokea mkabeba Kombe refa wa jana asikose Medal pls
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hapana mkuu yule refa ni kweli ni mbovu sababu nimeondoka kibandaumiza nikiwa nimekasirika kwani PSG tulitakiwa tuwapige 8:1 ila hili la kushinda 6 limenikoseshs furaha yani sina raha
 
Mkuu wewe bado una zile za kuamini watu wa ulaya na haujui kuwa hata ulaya kuna omba omba Wazungu... Usiamini sana uchambuzi mwingine umekaa kishabiki zaidi maana kwa vitu vinavyo onekana wazi havihitaji uchambuzi majibu yake huwa ni pale pale ndio maana vyama vya Soccer huwatetea waamuzi kuwa ni makosa ya kibinadamu but tunavyoenda mbele ujinga unaendelezwa na Barcelona hautakuwepo tena technology itachukua mkondo na kila mtu atatoka na furaha iwe kashinda au kafungwa lakini sio upumbavu huu unaooneshwa sasa na Marefa... Hao Wachezaji kwanza wazushi wao walikuwa wanalalamika sana walipokuwa wanacheza ati leo ndio nguzo yako ya kuwaamini kha!

Rio Ferdinand blasts referee Viktor Kassai after denying Raheem Sterling and Manchester City a penalty against Barcelona as Graham Poll says call was unfair on Pep Guardiola's side

Read more: Rio Ferdinand blasts referee Viktor Kassai after denying Raheem Sterling and Manchester City a penalty against Barcelona as Graham Poll says call was unfair on Pep Guardiola's side | Daily Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
Kwahiyo unataka nikuamini wewe ambae mpira wako unaangalizia Youtube au?
 
Kubebwa anabebwa anae juwa, na kunyongwa ananyongwa alie tayar kunyongwa, kwanin psg hawakukomaa km chelsea alivo wakomalia barcelona uwanja ulele, akafuzu kwa style ambayo dunia mpaka leo haijabahatka kuelewa. Kwa kuwa team captain John terry alpgwa kadi nyekundu kpindi cha kwanza lakn chelsea wakiwa na mtaji wa goli moja maliweza kulnda mtaj wao na kuondoka na matokeo yalyo weza kuwavusha kwenda final. Kwa mtazamo wangu psg hawakuwa wamejiandaa kwenye hatua inayofata ndiyo maana walikubal kupoteza mtaji wao wa bao 4 sufur kizembe xana
 
Kwahiyo unataka nikuamini wewe ambae mpira wako unaangalizia Youtube au?
Hao unaowaamini watizame wana mapenzi na timu gani???????????????? hebu watizame mwamba ngozi huvutia kwake

anayejua,anajua tu...aliyenacho ataongezewa zaidi....
Sun-Tzu-Quotes-3.jpg
 
Mkuu wewe bado una zile za kuamini watu wa ulaya na haujui kuwa hata ulaya kuna omba omba Wazungu... Usiamini sana uchambuzi mwingine umekaa kishabiki zaidi maana kwa vitu vinavyo onekana wazi havihitaji uchambuzi majibu yake huwa ni pale pale ndio maana vyama vya Soccer huwatetea waamuzi kuwa ni makosa ya kibinadamu but tunavyoenda mbele ujinga unaendelezwa na Barcelona hautakuwepo tena technology itachukua mkondo na kila mtu atatoka na furaha iwe kashinda au kafungwa lakini sio upumbavu huu unaooneshwa sasa na Marefa... Hao Wachezaji kwanza wazushi wao walikuwa wanalalamika sana walipokuwa wanacheza ati leo ndio nguzo yako ya kuwaamini kha!

Kwahiyo wewe ndo unaejua unataka tukuamini? Tukuamini kama nani na kwa authority gani?? Unasema hao wachambuzi wako kishabiki, wewe unavyoongea mbona unaonesha ushabiki na kwamba hukupenda Barca ishinde. Yaan wewe ushabiki kwako sawa kwa wengine ni ujinga. Mambo mengine bwana.....! Haya endelea kulialia wenzake wameshaweka historia
 
Back
Top Bottom