Barceroona ni team mbovu inayoshinda kwa bahati

Mme wenu

New Member
Joined
Nov 20, 2017
Posts
2
Reaction score
566
Kiukweli hii team yangu msimu huu imekuwa inapata magori kwa tabu sana na inahitaji kufanyiwa reforms kama kweli tunahitaji treble yafuatayo ni matatizo yanayoikumba barca

1. Kocha kusema ukweli EV sioni kama ni kocha ambae anatumia ubongo katika maamuzi yake anazingua sana substation zake ni mbovu na hana plan B

2. Ubovu wa eneo la finishing ambalo linaongozwa na Suarez hapa nashauri apatikane mbadala mapema January

3. Majeruhi ya baadhi ya wachezaji karibu 6 wakiwemo Dembele na Alcantara Jr na wengne wengi hili nalo ni tatzo hapa nashauri ufanyike usajiri ili kuongeza upana was kikosi

Hayo mambo yakishughulikiwa hakika hakuna wa kutuzuia
 
Huyu ni mpenzi mtazamaji, si shabiki wala nini.
 
[emoji1] [emoji2]

Ni bora Angekaa kimya tu, kuliko kutuandikia upupu hapa.
Huyo kazi yake kubwa ni kukuna nazi kwenye Mgahawa Buguruni sasa huwa akimaliza mapema anakuwa hana la kufanya kwa hiyo anaamua kuandika upuuzi uliomjaa kichwani mwake.
 
Nani kakwambia Barcelona inashinda kwa bahati??? Na magoli anayofunga KING pia ni yabahati??? Umefikiria nini hadi useme hivyo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…