Mme wenu
New Member
- Nov 20, 2017
- 2
- 566
Kiukweli hii team yangu msimu huu imekuwa inapata magori kwa tabu sana na inahitaji kufanyiwa reforms kama kweli tunahitaji treble yafuatayo ni matatizo yanayoikumba barca
1. Kocha kusema ukweli EV sioni kama ni kocha ambae anatumia ubongo katika maamuzi yake anazingua sana substation zake ni mbovu na hana plan B
2. Ubovu wa eneo la finishing ambalo linaongozwa na Suarez hapa nashauri apatikane mbadala mapema January
3. Majeruhi ya baadhi ya wachezaji karibu 6 wakiwemo Dembele na Alcantara Jr na wengne wengi hili nalo ni tatzo hapa nashauri ufanyike usajiri ili kuongeza upana was kikosi
Hayo mambo yakishughulikiwa hakika hakuna wa kutuzuia