Barchelor of Art in fine and perfoming art UDSM

Barchelor of Art in fine and perfoming art UDSM

Joined
May 25, 2013
Posts
45
Reaction score
6
Tumechaguliwa watano tu! Waliotutangulia wapo saba je? Unafikiri ni fursa pekee yakutufanya tubobee katika masuala hayo pamoja na upatikanaji wa ajira?
 
Lowasa amesoma hii kozi,,,hebu mcheki tweeter umuulize,fursa za ajira zikoje????ila ni kozi nzuri sana,haina kufeli,ni kukata viuno pamoja na kuimba na kuigiza,nilikua napenda sana kwenda FPA
 
Lowasa amesoma hii kozi,,,hebu mcheki tweeter umuulize,fursa za ajira zikoje????ila ni kozi nzuri sana,haina kufeli,ni kukata viuno pamoja na kuimba na kuigiza,nilikua napenda sana kwenda FPA

Hahahaha mzee mamvi alitumia na bado anaendelea kutumia usanii wake kitaaluma kutuingiza mkenge watanzania
 
hahahaha huyo anayesema its all about kukata viuno anazingua tc deal with animation graphics na madude kibao
 
kama unataka kuwa JB,ray na wengine wa bongo movies,soma hii kozi utakuwa msanii mzuri sana hapa TZ na NIGERIA
 
Lowasa amesoma hii kozi,,,hebu mcheki tweeter umuulize,fursa za ajira zikoje????ila ni kozi nzuri sana,haina kufeli,ni kukata viuno pamoja na kuimba na kuigiza,nilikua napenda sana kwenda FPA

Napenda sana maisha ya fpa wanavyotafuta course work.... Ni mwendo wa kukata viuno n maigizo unapata maksi...
 
me nimesoma fine arts and design@udom.....waalimu wetu 95% wamesoma hapo fpa udsm. Ni kozi ambayo inahitaji watu wachache. Kozi hiyo sapplimentary ni kazi sana kupata. Nakutakia mafaniko ndugu yangu
 
Kwa ninaowafahamu waliosoma hii course hawataki kuajiriwa labda kwenye vyuo vikuu kuwa wahadhiri. Wengi wamejiajiri na ndiyo sera ya UDSM kwa sasa ya kutoa elimu ya wahitimu wenye kutengeneza ajira siyo kuajiriwa.
 
Kama unaipenda toka moyoni na unahisi unakipaji cha sanaa nivyema ukaisoma ila kama umejikuta tu umeteuliwa na tcu na hauipendi ni bora ukafanya mpango wa kuibadili uende hata sociology au kwa uhakika nenda Ba.ed kwani inachangamoto kweli kama hizo kejeli wakata viuno wacheza viduku saanyingine ukiulizwa unasoma nini utashindwa kujitambulisha au kuwaita nduguzo kwenye graduation
ushauri pia kama wewe mtoto wa mkulima kwenu hamna uwezo na utapenda baada ya kumaliza chuo uajiriwe kwenye n.g.os ni bora ukabadili uende ualimu adult ed au sociology na pspa
>ila pia watu wakiwa wachache kwenye kozi huwa hawaruhusu kuhama hawaruhusu kuhama
 
Kwa ninaowafahamu waliosoma hii course hawataki kuajiriwa labda kwenye vyuo vikuu kuwa wahadhiri. Wengi wamejiajiri na ndiyo sera ya UDSM kwa sasa ya kutoa elimu ya wahitimu wenye kutengeneza ajira siyo kuajiriwa.

nashukuru kaka umenipa ufunuo juu ya hilo
 
Mfano mzuri ni babaakw Dan Kijo wa daladala, Dr Kijo ameacha kazi chuo amedesign gardern za kisasa kwa gharama kubwa sana anapata hela sana ndiyo maana akaacha kazi chuo kikuu. Mwingine ni Prof Jengo ambaye ni bingwa wa kuchora Africa list ni ndefu sana
 
Wewe jipe moyo ila jua hio course ni kimeo..but kila mtu na bahati yake
 
Haya ndiyo effects za cas.
unaweza ukute ni mtoto wa mkulima au mfugaji.
kasoma shule ya kata makete.
unampeleka fine and peformibg art.
wazazi wanategemea kitu akimaliza chuo.
balaa sana..
pole sana TZ
 
Tumechaguliwa watano tu! Waliotutangulia wapo saba je? Unafikiri ni fursa pekee yakutufanya tubobee katika masuala hayo pamoja na upatikanaji wa ajira?

kama lengo lako ni ajira nenda baed kuwa mwalimu au BA LAW ENFORCEMENT kuna ajira za kumwaga jeshi la polisi so unakuwa afande
 
Mtafute james mapepele yupo pale tbc taifa. Amesoma pale FPA atakupa maelezo mazuri sana. All the best kijana
 
Haya ndiyo effects za cas.
unaweza ukute ni mtoto wa mkulima au mfugaji.
kasoma shule ya kata makete.
unampeleka fine and peformibg art.
wazazi wanategemea kitu akimaliza chuo.
balaa sana..
pole sana TZ

Ameichagua mwenyewe
 
Back
Top Bottom