Gudrun_Columbus
Member
- May 25, 2013
- 45
- 6
Tumechaguliwa watano tu! Waliotutangulia wapo saba je? Unafikiri ni fursa pekee yakutufanya tubobee katika masuala hayo pamoja na upatikanaji wa ajira?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowasa amesoma hii kozi,,,hebu mcheki tweeter umuulize,fursa za ajira zikoje????ila ni kozi nzuri sana,haina kufeli,ni kukata viuno pamoja na kuimba na kuigiza,nilikua napenda sana kwenda FPA
Tumechaguliwa watano tu! Waliotutangulia wapo saba je? Unafikiri ni fursa pekee yakutufanya tubobee katika masuala hayo pamoja na upatikanaji wa ajira?
Lowasa amesoma hii kozi,,,hebu mcheki tweeter umuulize,fursa za ajira zikoje????ila ni kozi nzuri sana,haina kufeli,ni kukata viuno pamoja na kuimba na kuigiza,nilikua napenda sana kwenda FPA
mmmmhhh! mi nna jamaa yangu amesoma hii course... lakini ukimuona.. yuko ovyo ovyo! kisa? ajira baba!!!kama unataka kuwa JB,ray na wengine wa bongo movies,soma hii kozi utakuwa msanii mzuri sana hapa TZ na NIGERIA
Kwa ninaowafahamu waliosoma hii course hawataki kuajiriwa labda kwenye vyuo vikuu kuwa wahadhiri. Wengi wamejiajiri na ndiyo sera ya UDSM kwa sasa ya kutoa elimu ya wahitimu wenye kutengeneza ajira siyo kuajiriwa.
Tumechaguliwa watano tu! Waliotutangulia wapo saba je? Unafikiri ni fursa pekee yakutufanya tubobee katika masuala hayo pamoja na upatikanaji wa ajira?
Haya ndiyo effects za cas.
unaweza ukute ni mtoto wa mkulima au mfugaji.
kasoma shule ya kata makete.
unampeleka fine and peformibg art.
wazazi wanategemea kitu akimaliza chuo.
balaa sana..
pole sana TZ