Gudrun_Columbus
Member
- May 25, 2013
- 45
- 6
University of Dar es salaam full kujiachia only five people nipo kati yao any advice kwangu wanajamii
je uliomba hyo kozi? Kama ndio kabla ya kuiomba ulikuja JF kuomba ushauri? Kama hukuja unataka JF ikupe ushauri ili iweje? Ni sawa na mwanamke aliyeamua kupata mimba then kisha baada ya kujifungua anasema nimejifungua mtoto wa kiume/kike naombeni ushauri!
Kama unamaanisha unahtaji ushauri, hatari yako ni kubwa!
BTW tumejua umechaguliwa udsm hongera.
University of Dar es salaam full kujiachia only five people nipo kati yao any advice kwangu wanajamii
me nakupa hongera tu kuwa mmoja wa wana UDSM
bola ungepga edu coz iyo utakatka viuno jukwaan mpaka basi! Pole sana
bola ungepga edu coz iyo utakatka viuno jukwaan mpaka basi! Pole sana