Barchelor of Art in fine and performing Art

Barchelor of Art in fine and performing Art

Joined
May 25, 2013
Posts
45
Reaction score
6
University of Dar es salaam full kujiachia only five people nipo kati yao any advice kwangu wanajamii
 
University of Dar es salaam full kujiachia only five people nipo kati yao any advice kwangu wanajamii

je uliomba hyo kozi? Kama ndio kabla ya kuiomba ulikuja JF kuomba ushauri? Kama hukuja unataka JF ikupe ushauri ili iweje? Ni sawa na mwanamke aliyeamua kupata mimba kisha baada ya kujifungua anasema nimejifungua mtoto wa kiume/kike naombeni ushauri!
Kama unamaanisha unahtaji ushauri, hatari yako ni kubwa!
BTW tumejua umechaguliwa udsm hongera.
 
je uliomba hyo kozi? Kama ndio kabla ya kuiomba ulikuja JF kuomba ushauri? Kama hukuja unataka JF ikupe ushauri ili iweje? Ni sawa na mwanamke aliyeamua kupata mimba then kisha baada ya kujifungua anasema nimejifungua mtoto wa kiume/kike naombeni ushauri!
Kama unamaanisha unahtaji ushauri, hatari yako ni kubwa!
BTW tumejua umechaguliwa udsm hongera.

Good in fact
 
bola ungepga edu coz iyo utakatka viuno jukwaan mpaka basi! Pole sana
 
bola ungepga edu coz iyo utakatka viuno jukwaan mpaka basi! Pole sana

Bora yeye viuno kavipenda atavikatikia kwa moyo wote kuliko we uliyeenda education ili upate mkopo mwingi.....utakuwa multiplier na accelerator wa ziro tanzania...taaluma ya ualimu inavamiwa sana siku hizi
 
Du,kozi nyingine bwana,kama huna kipaji cha kuigiza na kucheza ngoma hata ukisoma vipi hiyo kozi utazidiwa na akina Kanumba na Thea ambao hata certificate ya fine arts hawana.Uiskate tamaa kwani shule nyingi za international /english medium siku hizi zinachukua wataalamu wa fine art kufundisha chekechea kuchora.
 
Back
Top Bottom