Basi iko hivi, cha kwanza, geology inakua sana kwa sasa, angalia tu utafiti wa mafuta unavyokuja kwa kasi.
Bado nchi kama Congo na Burundi hata west Africa zinahitaji wataalam hawa na wanaajiri watanzania wengi tu.
Cha pili, geology is 'sexy', very interesting kama unaipenda.
Cha tatu, kuchagua masomo iko hivi, ukiwa unaanza mwaka wa kwanza utakuta kabisa umepangiwa
Kama wewe 90% najua utapangiwa kusoma Geology, Maths na Geography.(wanaangalia yale uliyopata credit kati ya hayo masomo yako matatu)
Ukifika mwaka wa pili itabidi udrop somo moja ambapo utatakiwa kuacha either maths au geography, huwezi acha geology maana ndio main course hapo.
Hapa pa kuchagua uache kipi kuwa mjanja, lazima ujue uwezo wako na unataka nini.
Kama ni mtu unayefocus kwenye GPA kubwa afu una uwezo wa kati acha Math na uendelee na Geography na geology.
Kama ni mtu ambaye unajali kupanua uwezo wa akili acha geography uendelee na geology na Math.
Ila kama maths huwa unafaulu kwa mawazo, iache tu at the end of the day geologist ni geologist tu
kulipa nlimaanisha about job opportunities(kuajiriwa na kujiajir)
high school nimesoma EGM(according to TCU guidbook 2012-2013 EGM unasoma cha msingi uwe na principal za maths na geog)..
about passion,nlichagua hii caurse(Bscience with geology) kwa dhumun la kusoma maths nacomp science au maths na geograph(hii ni kwenye upande wa science) thn nichukue na hiyo geology(kwenye with geology)
ABOUT mining sector kwa kel hali si mbaya...
nawakilisha bro!!!