Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini usisomee gas and oil ?
Achana nayo, itakushinda. Hata kuiandika huwezi; hebu tuandikie neno 'diploma' tuone kama unaweza![h=2]Barchelor of scince with geology[/h]
In Geology ni kuwa unasoma Pure Geology, lakini with Geology unasoma Geology na kitu kingine kisicho Geology, say Biology with Geology, Geography with Geology, Economics with Geology, History with Geology ectJamani na tofauti ya Bsc. in Geology na Bsc. with Geology ni ipi?? Na ni faculty gani kati ya hizo ni zaidi ya mwenzake ki masomo na kiajila
Achana nayo, itakushinda. Hata kuiandika huwezi; hebu tuandikie neno 'diploma' tuone kama unaweza!
computer inakosea ishindikane mim,kua mtu mzima!!!
In Geology ni kuwa unasoma Pure Geology, lakini with Geology unasoma Geology na kitu kingine kisicho Geology, say Biology with Geology, Geography with Geology, Economics with Geology, History with Geology ect
mkuu ni makosa ambayo kila mtu anaweza fanya..sasa kwa kigezo hcho ulichotumia sizani kama umetumia busara,kumbuka sisi ni binadam na makosa ni sehem ya maisha yetu,ila nashkur kwa mchango wako!!!Achana nayo, itakushinda. Hata kuiandika huwezi; hebu tuandikie neno 'diploma' tuone kama unaweza!
kulipa nlimaanisha about job opportunities(kuajiriwa na kujiajir)Dogo, kulipa kwako inamaanisha nini?
Halafu, high school umesoma nini?
Una passion na kitu gani?
Kozi kulipa ni suala lingine, na uwezo wako wa kuisoma hiyo kozi ni suala lingine.
Kwani wewe unaonnaje sekta ya madini, inakua au inazorota?
Baada ya kujibu haya nitaendelea.
Kongosho unashangaa Geology with History?..............Ancient history ambayo mara nyingi huwa iko covered na soft recent materials (sediments) huwezi kuipata vizuri kama hujui geology formation na Correlation kwa ufasaha (Hapa simaanishi Paleontology)........................ kuna historical features ambazo zimezikwa na sediments zinazokuwa deposited as results ya Barafu kuyeyuka ama zinazikwa na volcanic ashes (Oldvai Gorge), .................. anyway ni shule pana kidogo
kulipa nlimaanisha about job opportunities(kuajiriwa na kujiajir)
high school nimesoma EGM(according to TCU guidbook 2012-2013 EGM unasoma cha msingi uwe na principal za maths na geog)..
about passion,nlichagua hii caurse(Bscience with geology) kwa dhumun la kusoma maths nacomp science au maths na geograph(hii ni kwenye upande wa science) thn nichukue na hiyo geology(kwenye with geology)
ABOUT mining sector kwa kel hali si mbaya...
nawakilisha bro!!!