BARCHELOR OF VETERNARY MEDICINE [BVM] na HUMAN MEDICINE [MD] ,CIVIL ENGENEERING na BARCHELOR OF LAW

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Kati ya cozi tajwa hapo juu ni ipi unadhani inalipa zaidi ukiwa tanzania?kama vipi 2pia na salary yake kama unaijua ili kuwapa mzuka madogo zetu wasome sana [updated-boy]
 
Chambua moja moja ili kuwaweka wadogo zetu aware.,na ili wasome sana! [updated-boy]
 
Kati ya cozi tajwa hapo juu ni ipi unadhani inalipa zaidi ukiwa tanzania?kama vipi 2pia na salary yake kama unaijua ili kuwapa mzuka madogo zetu wasome sana [updated-boy]

kwa iyo kama salary ni ndogo hawatakua na mzuka wa kusoma?sidhani kama ni sahihi mtu kuchagua kozi fulani eti kuangalia salary scale yake ni kubwa,ndio maana tunaishia kupata watalaamu uchwala.
cha muhimu ni mtu kusoma kitu anachokipenda kwa dhati+anachokimudu vyema,mafanikio yanapatikana kwa kozi yoyote ile na kumbuka maisha hayana formula.
 
Chambua moja moja ili kuwaweka wadogo zetu aware.,na ili wasome sana! [updated-boy]

kuna watu walizaliwa kusoma sayansi ata ukisema sheria wanalipwa 20m per month,hawataonyesha interest yoyote ile kusoma masomo ya arts. vile vile kuna watu walizaliwa kusoma arts ata ukisema enjinia,madaktari wanalipwa 20m per month hawataonyesha interest ya kutaka kusoma masomo ya sayansi.
 
Chambua moja moja ili kuwaweka wadogo zetu aware.,na ili wasome sana! [updated-boy]

kama interest ni kuwafanya wasome sana kwa nini umetaja kozi nne tu(BVM,MD,CIVIL,LAW) je wenye kutaka kujua information za kozi nyingine watapata wapi ili wawe motivated kusoma kama(political science,geology,sociology,pharmacy,procurement,wildlife, nurse, edcation etc)
 
n kweli kaka,lakini kumbuka kuwa mshahara mkubwa ni moja ya kigezo kinachompa mwanafunzi hamasa ya kusoma kozi husika,mfano watu wengi siku hzi wanakimbilia sekta za afya...updated-boy
 
ndio mkuu,nimependa maelezo yako,kumbuka wa2 weng cku hz wanakimbia ualimu kwa ajili ya mshahara mdogo!,au we hcho hukijui? Updated-boy
 
ni kweli,nimeangalia chache zinazogusa maisha ya kila siku,hzo nyingne nitaweka mada siku nyingine! Updated-boy
 
very true
mimi leo unambie sijui nikasome sijui banking and finance, sijui accounting
hata wanilipe 50m siendi
 
Sheriaaaaaaa ndio mpango mzima wakili na daktari nani zaidii? ,mwanasheria wa kampuni na daktari wa KCMC nani zaidi ?? ,
 
Sheriaaaaaaa ndio mpango mzima wakili na daktari nani zaidii? ,mwanasheria wa kampuni na daktari wa KCMC nani zaidi ?? ,

bt mpigamsuli kumbuka kuwa a doctor may save u when u get accident,je lawyer anaweza kumsaidia mkeo akiwa mjamzto? Updated-boy
 
bt mpigamsuli kumbuka kuwa a doctor may save u when u get accident,je lawyer anaweza kumsaidia mkeo akiwa mjamzto? Updated-boy
ndio lawyer anaweza kumsaidiaa mke wangu kama ni mjamzito kwa mfano ,manesi wakimdhalilisha ,akidaiwa rushwa na daktari, akizalishwa vibaya.,
pasipo na sheriaa unafikiri ingekuwaje?
 
ndio lawyer anaweza kumsaidiaa mke wangu kama ni mjamzito kwa mfano ,manesi wakimdhalilisha ,akidaiwa rushwa na daktari, akizalishwa vibaya.,
pasipo na sheriaa unafikiri ingekuwaje?

lakini,kumbuka a nurse may make ur wife die or not"...kubali usikubali hawa watu wana umuhimu mkubwa sana..!-updated-boy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…