n kweli kaka,lakini kumbuka kuwa mshahara mkubwa ni moja ya kigezo kinachompa mwanafunzi hamasa ya kusoma kozi husika,mfano watu wengi siku hzi wanakimbilia sekta za afya...updated-boy
kijana acha kuishi kwa maneno ya mitaani na maneno ya wanasiasa,kwa iyo wewe unavyojua kuwa sekta ya afya ndiyo wanalipwa mishahara mikubwa? kama ndivyo unavyofikiria haupo sahihi ata kidogo.
ndugu wanasiasa wanapotosha sana mambo kwamba afya wanamishahara mikubwa kulinganisha na sekta zingine,lakini kumbuka kilimo na mahakama zipo juu ya afya,apo sijagusia sehemu kama tra, bot,bandari etc.
acha kabisa hakuna watumishi wanaoteseka kama wa afya,uliza ata kama fedha zao za call allowance au extraduty wanalipwa,hakuna kitu njaa tupu.