BARCHELOR OF VETERNARY MEDICINE [BVM] na HUMAN MEDICINE [MD] ,CIVIL ENGENEERING na BARCHELOR OF LAW

n kweli kaka,lakini kumbuka kuwa mshahara mkubwa ni moja ya kigezo kinachompa mwanafunzi hamasa ya kusoma kozi husika,mfano watu wengi siku hzi wanakimbilia sekta za afya...updated-boy


kijana acha kuishi kwa maneno ya mitaani na maneno ya wanasiasa,kwa iyo wewe unavyojua kuwa sekta ya afya ndiyo wanalipwa mishahara mikubwa? kama ndivyo unavyofikiria haupo sahihi ata kidogo.
ndugu wanasiasa wanapotosha sana mambo kwamba afya wanamishahara mikubwa kulinganisha na sekta zingine,lakini kumbuka kilimo na mahakama zipo juu ya afya,apo sijagusia sehemu kama tra, bot,bandari etc.
acha kabisa hakuna watumishi wanaoteseka kama wa afya,uliza ata kama fedha zao za call allowance au extraduty wanalipwa,hakuna kitu njaa tupu.
 
Sheriaaaaaaa ndio mpango mzima wakili na daktari nani zaidii? ,mwanasheria wa kampuni na daktari wa KCMC nani zaidi ?? ,

inategemeana kuna mawakili waliotoka kimaisha na pia wapo life lililogoma adi utawaonea huruma,sawa na madaktari wapo ambao mambo yamewanyookea na wapo pia mambo yamegoma(ila in general madaktari wana uhakika wa hela ya kubadirishia mboga, ayo mengine ni majaliwa)
 
Sheriaaaaaaa ndio mpango mzima wakili na daktari nani zaidii? ,mwanasheria wa kampuni na daktari wa KCMC nani zaidi ?? ,

inategemeana na kampuni ipi anafanya uyo mwanasheria,zipo kampuni zinazolipa sana na zipo choka mbaya sana
 
mshahara mkubwa unategemea na kazi na experience pia,chukulia mfano TRA au EWURA,TCAA,TCRA hao jamaa dereva tu anaweza kukutoa kamasi na degree yako kama unafanya baadhi ya kampuni,so unaweza kuwa na degree au diploma unayoidharau lakini kuna baadhi ya sehemu ana earn alot money kuliko wewe na master yako unaefanya kazi katika wizara zenye njaa
 

bila shaka atakuwa amekuelewa,naona kama kijana lugano anaangalia mambo kwenye muelekeo moja tu.
 

nimekusoma mkuu...pamoja sana bt lets conclude sekta zote zna umuhimu..updated-boy
 

umesomeka,na naona jamaa kadaka saut! Updated-boy
 
ni kweli,nimeangalia chache zinazogusa maisha ya kila siku,hzo nyingne nitaweka mada siku nyingine! Updated-boy

ungeweka na kozi
ya mzingira basi kama swala ni maisha ya kila siku
 
Napita tu
akuna laana duniani kama kumshauri mtu kozi akasoma akakosa kazi na kuanza kukulaani milele
ni kalaana kanachoambaatana nauzao wako lazima tuwe makini kwenye kujibu hili fumbo.....
Pengine si leo waala kesho hata akisomea medicine miaka miatano maisha yakampiga utabeba swaumu yake
 
Kati ya cozi tajwa hapo juu ni ipi unadhani inalipa zaidi ukiwa tanzania?kama vipi 2pia na salary yake kama unaijua ili kuwapa mzuka madogo zetu wasome sana [updated-boy]

Dada wa Family Consumer!!! Mbona hii yako huiweki kwenye mchuano? Unaishia kugonganisha za wenzio tu!!
 

ci hivyo kama ufikiriavyo..kikubwa ni kuwapa moral wadogo zetu wasome sana!,wazi?
 
Bsc food science,mi naona inalipa sana piga ua ukiajiriwa lazima ulipwe 10mil +
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…