Caroline Danzi
JF-Expert Member
- Dec 19, 2008
- 3,713
- 1,265
Maneno mazuri hayo mdau kwa maana nyingine lazima mtu ajue malengo ya fani anayotaka kusoma hayo ya fedha ni mengineyo na ni ngumu kupima mafanikio ya mtu katika fani flani na kupiga buku ili uje kuwa kama yeye. Tatizo tangu uhuru tumeandaliwa kuwa waajiriwa na matokeo yake tunafakia hapa kuchambua kila fani huku tukisahau kwamba maisha tunayoishi whether ya utajiri au umaskini ni uchaguzi wetu wenyewe. Fani yoyote hata kama umesomea cookery inamtoa mtu kama utakuwa na akili ya ziada ya kile ulichojifunza shule kwani sifa ya msomi si kozi wala marks alizopata bali ni namna gani anamudu kuelewa mazingira yale anayoishi na kuchukua hatua ya namna gani anaweza kuchomoka kimaisha na ndio maana unaweza ukakuta mtu amesoma nursing akafanya kazi nyingine kabisa tofauti na kile alichosomeakuna watu walizaliwa kusoma sayansi ata ukisema sheria wanalipwa 20m per month,hawataonyesha interest yoyote ile kusoma masomo ya arts. vile vile kuna watu walizaliwa kusoma arts ata ukisema enjinia,madaktari wanalipwa 20m per month hawataonyesha interest ya kutaka kusoma masomo ya sayansi.
Bsc food science,mi naona inalipa sana piga ua ukiajiriwa lazima ulipwe 10mil +
Maneno mazuri hayo mdau kwa maana nyingine lazima mtu ajue malengo ya fani anayotaka kusoma hayo ya fedha ni mengineyo na ni ngumu kupima mafanikio ya mtu katika fani flani na kupiga buku ili uje kuwa kama yeye. Tatizo tangu uhuru tumeandaliwa kuwa waajiriwa na matokeo yake tunafakia hapa kuchambua kila fani huku tukisahau kwamba maisha tunayoishi whether ya utajiri au umaskini ni uchaguzi wetu wenyewe. Fani yoyote hata kama umesomea cookery inamtoa mtu kama utakuwa na akili ya ziada ya kile ulichojifunza shule kwani sifa ya msomi si kozi wala marks alizopata bali ni namna gani anamudu kuelewa mazingira yale anayoishi na kuchukua hatua ya namna gani anaweza kuchomoka kimaisha na ndio maana unaweza ukakuta mtu amesoma nursing akafanya kazi nyingine kabisa tofauti na kile alichosomea
Mkanywe chai sasa.
hii ndio point ya msingi!!!! na nna kuunga mkono kwa asilimia mia!!!!kuna watu walizaliwa kusoma sayansi ata ukisema sheria wanalipwa 20m per month,hawataonyesha interest yoyote ile kusoma masomo ya arts. vile vile kuna watu walizaliwa kusoma arts ata ukisema enjinia,madaktari wanalipwa 20m per month hawataonyesha interest ya kutaka kusoma masomo ya sayansi.
mkuu moes hapo ndipo jamaa alipojichanganya!!! na si kosa lake maana mada nyingi humu jukwaani watu wanabase kwenye ushabiki....na asingeweza toa kada nyingine maana kichwani kwake anachowaza duniani ziko hizo field nne tu hapa duniani!!!kama interest ni kuwafanya wasome sana kwa nini umetaja kozi nne tu(BVM,MD,CIVIL,LAW) je wenye kutaka kujua information za kozi nyingine watapata wapi ili wawe motivated kusoma kama(political science,geology,sociology,phar macy,procurement,wildlife, nurse, edcation etc)
hii ndio point ya msingi!!!! na nna kuunga mkono kwa asilimia mia!!!!
mkuu moes hapo ndipo jamaa alipojichanganya!!! na si kosa lake maana mada nyingi humu jukwaani watu wanabase kwenye ushabiki....na asingeweza toa kada nyingine maana kichwani kwake anachowaza duniani ziko hizo field nne tu hapa duniani!!!
][/QUOTE][QUOTE said:lugano5;7407345]Kati ya cozi tajwa hapo juu ni ipi unadhani inalipa zaidi ukiwa tanzania?kama vipi 2pia na salary yake kama unaijua ili kuwapa mzuka madogo zetu wasome sana [updated-boy