Barclays Bank (Tanzania) yafunga matawi 10 nchini

Ukweli ni kwamba Barclays mmekurupuka katika hili la kufunga matawi, hamkushirikisha wateja wenu, hamkufanya utafiti kabla ya kufikia uamuzi huu, hamjawatendea haki, ustaarabu wala uungwana wateja wenu. Hii ni sawa na Baba mwenye nyumba kutoa notisi kwa mpangaji wake ahame nyumba yake haraka bila ya kumpa mpangaji nafasi atafute nyumba ingine.

Hivi kweli umtoe mteja Tabora umpeleke Mwanza zaidi ya kilometa 100 eti anafata Benki ya Barclays!!!!!!. Huu ni Uhuni.

Mbona mfano wako haundani na hali halisi,au hukusoma taarifa yote...wametoa siku 90,yaani miezi mitatu ambacho ni kipindi tosha kabisa kwa mtu kuhama au kuhamia benki nyingine hasa kipindi hiki ambacho tuna benki karibu 45 tano zikifanya kazi nchini.Uhuni wao uko wapi?Ulitaka waendelee na biashara ambayo ipo incovinient kwao?
 
Nimeguswa sana na hili suala la restructiring ya Barclays Bank, kwa upande moja kama wanadhani kuwa kwa kuchukua hatua hizo itakuwa ni kuboresha huduma zao basi naamini kila moja angeunga mkono.

Lakini ukifanya tathmini utaona kuwa ni kinyume chake. Hakuna ufanisi wowote unaotegemewa kwa kumhamisha mteja toka Tabora au Musoma na kumpeleka Mwanza. Mteja alipofungua account kwenye tawi husika alikuwa anategemea unafuu hata kwa muda atakaotumia mara anapohitaji huduma za kibenki. Leo unamhamishia mkoa mwingine bila kujadiliana naye kama anaridhika ama laa ni uhuni ambao unapaswa ulaaniwe na kila anayeitakia nchi yetu mema.

Umesoma tangazo lao vizuri?Nakuomba usome tena ili ulielewe.Unafikiri ni kwanini wamesema kwamba wateja wawasiliane nao ndani ya siku 30 kujadiliana nao?Tanzania kuna benki zaidi ya 40 ambazo ukichunguza sana kwa wateja wa kawaida riba na makato havipishani sana,chaguo.Kuna mengi ya kulalamika Tanzania hii lakini sio hili...
 
Nimeguswa sana na hili suala la restructiring ya Barclays Bank, kwa upande moja kama wanadhani kuwa kwa kuchukua hatua hizo itakuwa ni kuboresha huduma zao basi naamini kila moja angeunga mkono.

Lakini ukifanya tathmini utaona kuwa ni kinyume chake. Hakuna ufanisi wowote unaotegemewa kwa kumhamisha mteja toka Tabora au Musoma na kumpeleka Mwanza. Mteja alipofungua account kwenye tawi husika alikuwa anategemea unafuu hata kwa muda atakaotumia mara anapohitaji huduma za kibenki. Leo unamhamishia mkoa mwingine bila kujadiliana naye kama anaridhika ama laa ni uhuni ambao unapaswa ulaaniwe na kila anayeitakia nchi yetu mema.
mkuu tatizo sio Barclay bali sisi watz tumezidi usanii. Unamuuliza mtu kitu anakupa wrong information.
Chukulia hawa jamaa walivyokuwa wanafanya feasibility study ya kufungua haya matawi walipata taarifa ambazo waliziamini na baada ya kuja kwenye field haya ndio yamewakuta.
Pamoja na hiyo sababu, kuna ukweli ulio mkubwa zaidi nao ni kuwa mporomoko wa uchumi. Ni ngumu na chungu kumeza lakini ndio ukweli
 
Hawa jamaa ni vilaza sana hawakufanya research ni nn kifanyanyike kwa ajili ya customer wao wanakimbilia sababu ambazo hazina mashiko...
 
Matatizo ya Barclays yamesababishwa na watu wa Emerging Markets Dubai kulazimisha Retail expansion huku Tanzania wakifikiri bongo ni Botswana,Kenya au South Africa. Matokeo yake ndio haya sasa halafu wanaoumia ni watanzania.

Elaborate kidogo na sisi tuelewe hapo kwa Retail Expansion na Dubai
 
Sawa bana

Sent from my BlackBerry 9300 using Jambo Adverts Tanzania Networks.
 
Kinachoniacha hoi ni jinsi wanavyohamisha account za watu, yaani mtu atoke Tabora kwenda kufanya transaction Mwanza? Duh, hii kali
 
NAENDA KUKOMBA MZIGO WANGU NBC, Wafanyakazi wa Barclays ni mabingwa wa KUPIGA kudadeki. Shtuka ka jicho vumbi ila vumbi linazinguaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Leo wametoa ufafanuzi.

Wanadai si uamuzi rahisi waliouchukua lakini lengo ji kuboresha huduma zao, utendaji na kufanikisha malengo yao ndani ya Tanzania.
Impressive kivipi?
Seems wawekezaji hawa wanaficha real story of their fate.
Maxence Melo , Paw from inside.....ni hivi hawa jamaa walianza kutetereka mwak 2006.....baa da ya JK kuingia madarakani kama mtakumbuka yale mabilioni ya jk....mabenki waliamuliwa kuacha ku issue T-Bills instedy zile pesa wapewe wananchi kwa njia ya loan kama mtakumbuka miaka hiyo ndio Barclays walijipanua sana vijijini na kufungua matawi mengi lengo ni kuwakopesha watu.....

Zoezi lilifanikiwa kufungua matawi na wananchi wakahamasishwa kukopa..lakini bila kufuata vigezo vya kuwa mkopaji bora matokeo yake madeni yalishindwa kurudishwa running cost ikawa kubwa siku baada ya siku.....ndio ikaamuliwa lifanyike hili...kufungwa baadhi ya branch.......
ndio ukweli huo....
 
Last edited by a moderator:

Ni wazi kwamba hii Bank imeporomoka kwa kiwango kikubwa. Haiwezekani kufunga matawi 10 kwa mkupuo ili kuboresha ufanisi.

Katika ripoti zao kumeonesha kushuka kwa faida na upotevu wa mtaji kwa kiwango mtiririko, hivyo kufunga matawi 10 ni mwanzo wa mpango wa kufungasha virago. Maadam wanayo NBC (ambayo nayo ipo hoi) watafanya mpango wa kuunganisha huduma kisha kufunga more branches.

Kwa mwenendo huu Barclays inaonesha dalili za KUFUNGA shughuli zake Tanzania
 
Tokea walipoingia kichwa kichwa kufungua matawi mapya 20 kwa mpigo katika kipindi kifupi cha mwaka mmoja nilihisi tatizo kama hili litakuja kutokea. Hii ilikuwa ni over-ambitious project ambayo kurudisha gharama zake ni kasheshe kweli. Hata mabenki makubwa ya CRDB, NMB, NBC hawana ubavu wa kufanya hii kitu...
Matokeo yake wamekuja kushtuka too late kuwa hiyo kitu hailipi ndio maana wameamua kufunga baadhi ya matawi!
 
Hivi wale walioingia mitini na mikopo watawafanya nini? Kuna wakati walitishia kuwatangaza magazetini halafu kimya!
 
Restructuring means consolidation. In this case, the bank is preparing to reduce overheads. Several employees will be laid off. Global economic/financial trends have forced this situation. I wont be surprised to see them leave altogether.
 
Haya sasa Barclays imeshushwa hadhi ya kukopa kutoka kwenye benki nyingine duniani.....implications yake nini? haina thamani?
au ilifanya poor investment?
 
[h=1]Moody's downgrades 15 major banks[/h]
_61067137_013834077-2.jpg
RBS said it disagreed with the Moody's decision
Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]

Credit ratings agency Moody's has downgraded 15 global banks and financial institutions.
The UK banks downgraded were Royal Bank of Scotland, Barclays and HSBC. Lloyds also had its rating cut by Moody's in a separate announcement.
In the US, Bank of America and Citigroup were among those marked down.
BBC business editor Robert Peston said banks were concerned the downgrades may make it harder for them to borrow money, but their shares rose on Friday.
John Raymond, senior banking analyst at research firm Credit Sights, said Moody's announcement would have little impact on the banks' abiity to borrow funds - and in turn on their customers - because it was so expected.
"The downgrades from Moody's have been expected for some time, and therefore had already been factored in," he told the BBC.
"So I don't think Moody's move will mean the banks end up having to increase the interest rates or charges that their customers face."
Explaining the decision for the downgrade, Moody's global banking managing director Greg Bauer highlighted the banks' exposure to volatility in the world's financial markets.
Continue reading the main story [h=2]"Start Quote[/h]
The most interesting thing about the Moody's analysis is that it, in effect, creates three new categories of global banks, the banking equivalent of the Premier League, the Championship and League One"
End Quote Robert Peston Business editor

He said that all of the banks affected by the downgrades had "significant exposure to the volatility and risk of outsized losses".
The other institutions that have been downgraded are Goldman Sachs, Morgan Stanley, JP Morgan Chase, Credit Suisse, UBS, BNP Paribas, Credit Agricole, Societe Generale, Deutsche Bank and Royal Bank of Canada.
Moody's added that it was putting some of the banks on a negative outlook, which is a warning that they could be downgraded again in the future.
Explaining this, it said governments around the world had shown a "clear intent" to reduce their support for banks going forward.
In Friday trading, shares in Royal Bank of Scotland were up 1.5%, HSBC had gained 0.7% and Barclays had risen 0.9%. Lloyds was 1.6% higher.
In France, Societe Generale was up 2.5%, while in Germany, shares in Deutsche Bank had gained 0.6%.
On Wall Street, Bank of America was up 0.9% and Citigroup rose 1.2%.
Continue reading the main story [h=2]Ratings guide[/h] Moody's gives banks a long-term credit rating, ranging from a high of "Aaa", down to a low of "C"
It has downgraded HSBC from Aa2 to Aa3
Barclays has fallen from Aa3 to A2
RBS has been lowered from A2 to A3
Lloyds has been reduced from A1 to A2

'Disagrees' Jonathan Newman, banking analyst at investment firm Brewin Dolphin, also said Moody's move should have little impact on the affected banks because it was so widely expected ever since the rating agency first announced the start of its review in February.
"Moody's has sought to avoid creating a shock event and has kept the market well-informed as the process has gone along," he said.
Yet Peter Hahn, a former executive at Citigroup and now a lecturer at Cass Business School in London, said the downgrades could limit the banks' activities.
"Banks are going to have to put up collateral in their transactions with other banks," he said.
"As they get downgraded, other banks and system players don't want exposure.
Continue reading the main story [h=2]Royal Bank of Scotland Group[/h] Last Updated at 22 Jun 2012, 15:30 GMT *Chart shows local time
chart
pricechange%
243.20 p

[TD="class: down"] - -0.10
[/TD]
[TD="class: down"] - -0.04
[/TD]

"It's a constraint on capital, it's a constraint on business, so it's obviously not welcome for us, trying to get more money into the economy."
In a statement, RBS responded to its downgrade saying: "The group disagrees with Moody's ratings change, which the group feels is backward-looking and does not give adequate credit for the substantial improvements the group has made to its balance sheet, funding and risk profile."
RBS estimated that the downgrade could mean it would need to find an extra £9bn in collateral for its debts.
Lloyds said it believed that the change would have "limited impact on our funding costs and market capacity".
In the US, Citigroup said it "strongly disagrees" with Moody's decision.
Of the banks downgraded, four were cut by one notch on Moody's ranking scale, including HSBC, Royal Bank of Scotland, and also Lloyds.
A further 10 banks had their rating reduced by two notches, including Barclays. Credit Suisse was lowered by three notches.
"The biggest surprise is the three-notch downgrade of Credit Suisse, which no one was looking for," said Mark Grant, managing director of Southwest Securities.
Group breakdowns Moody's separates the 15 banks into three groupings, relative to its assessment of their resilience to any global financial market turmoil.
_61067794_de02-1.jpg

Advertisement

Louise Oliver, financial adviser: Savers with these banks need not worry

It puts HSBC in its strongest "first group", together with Royal Bank of Canada and JP Morgan.
Moody's says these banks have "stronger buffers" than many of their peers, and "generally more stable businesses".
Barclays is in its "second group" of banks which Moody's says face "sometimes adverse factors". Other banks at this level are BNP Paribas and Goldman Sachs.
RBS is in the bottom "third group", which comprises banks which "have been affected by problems in risk management, or have a history of high volatility". Other banks in this grouping include Bank of America and Citigroup.
 
Moody's downgrades 15 major banks

_61067137_013834077-2.jpg
RBS said it disagreed with the Moody's decision
Continue reading the main story Related Stories

Credit ratings agency Moody's has downgraded 15 global banks and financial institutions.
The UK banks downgraded were Royal Bank of Scotland, Barclays and HSBC. Lloyds also had its rating cut by Moody's in a separate announcement.
In the US, Bank of America and Citigroup were among those marked down.
BBC business editor Robert Peston said banks were concerned the downgrades may make it harder for them to borrow money, but their shares rose on Friday.
John Raymond, senior banking analyst at research firm Credit Sights, said Moody's announcement would have little impact on the banks' abiity to borrow funds - and in turn on their customers - because it was so expected.
"The downgrades from Moody's have been expected for some time, and therefore had already been factored in," he told the BBC.
"So I don't think Moody's move will mean the banks end up having to increase the interest rates or charges that their customers face."
Explaining the decision for the downgrade, Moody's global banking managing director Greg Bauer highlighted the banks' exposure to volatility in the world's financial markets.
Continue reading the main story “Start Quote

The most interesting thing about the Moody's analysis is that it, in effect, creates three new categories of global banks, the banking equivalent of the Premier League, the Championship and League One”
End Quote Robert Peston Business editor

He said that all of the banks affected by the downgrades had "significant exposure to the volatility and risk of outsized losses".
The other institutions that have been downgraded are Goldman Sachs, Morgan Stanley, JP Morgan Chase, Credit Suisse, UBS, BNP Paribas, Credit Agricole, Societe Generale, Deutsche Bank and Royal Bank of Canada.
Moody's added that it was putting some of the banks on a negative outlook, which is a warning that they could be downgraded again in the future.
Explaining this, it said governments around the world had shown a "clear intent" to reduce their support for banks going forward.
In Friday trading, shares in Royal Bank of Scotland were up 1.5%, HSBC had gained 0.7% and Barclays had risen 0.9%. Lloyds was 1.6% higher.
In France, Societe Generale was up 2.5%, while in Germany, shares in Deutsche Bank had gained 0.6%.
On Wall Street, Bank of America was up 0.9% and Citigroup rose 1.2%.
Continue reading the main story Ratings guide

Moody's gives banks a long-term credit rating, ranging from a high of "Aaa", down to a low of "C"
It has downgraded HSBC from Aa2 to Aa3
Barclays has fallen from Aa3 to A2
RBS has been lowered from A2 to A3
Lloyds has been reduced from A1 to A2

'Disagrees' Jonathan Newman, banking analyst at investment firm Brewin Dolphin, also said Moody's move should have little impact on the affected banks because it was so widely expected ever since the rating agency first announced the start of its review in February.
"Moody's has sought to avoid creating a shock event and has kept the market well-informed as the process has gone along," he said.
Yet Peter Hahn, a former executive at Citigroup and now a lecturer at Cass Business School in London, said the downgrades could limit the banks' activities.
"Banks are going to have to put up collateral in their transactions with other banks," he said.
"As they get downgraded, other banks and system players don't want exposure.
Continue reading the main story Royal Bank of Scotland Group

Last Updated at 22 Jun 2012, 15:30 GMT *Chart shows local time
chart
pricechange%
243.20 p

[TD="class: down"] - -0.10
[/TD]
[TD="class: down"] - -0.04
[/TD]

"It's a constraint on capital, it's a constraint on business, so it's obviously not welcome for us, trying to get more money into the economy."
In a statement, RBS responded to its downgrade saying: "The group disagrees with Moody's ratings change, which the group feels is backward-looking and does not give adequate credit for the substantial improvements the group has made to its balance sheet, funding and risk profile."
RBS estimated that the downgrade could mean it would need to find an extra £9bn in collateral for its debts.
Lloyds said it believed that the change would have "limited impact on our funding costs and market capacity".
In the US, Citigroup said it "strongly disagrees" with Moody's decision.
Of the banks downgraded, four were cut by one notch on Moody's ranking scale, including HSBC, Royal Bank of Scotland, and also Lloyds.
A further 10 banks had their rating reduced by two notches, including Barclays. Credit Suisse was lowered by three notches.
"The biggest surprise is the three-notch downgrade of Credit Suisse, which no one was looking for," said Mark Grant, managing director of Southwest Securities.
Group breakdowns Moody's separates the 15 banks into three groupings, relative to its assessment of their resilience to any global financial market turmoil.
_61067794_de02-1.jpg

Advertisement

Louise Oliver, financial adviser: Savers with these banks need not worry

It puts HSBC in its strongest "first group", together with Royal Bank of Canada and JP Morgan.
Moody's says these banks have "stronger buffers" than many of their peers, and "generally more stable businesses".
Barclays is in its "second group" of banks which Moody's says face "sometimes adverse factors". Other banks at this level are BNP Paribas and Goldman Sachs.
RBS is in the bottom "third group", which comprises banks which "have been affected by problems in risk management, or have a history of high volatility". Other banks in this grouping include Bank of America and Citigroup.
 
Cha ajabu huyo managing director aliyetekeleza huo mpango mfu unaoua benki ndugu Bade ndio kikwete aliyemuona bomba akampa cheo Tanzania Mortgage Refinancing na kuwanyima vichwa kama wakina Charles singili, Rais Dhaifu Mdini ataendelea kuumbuka tu maana ndio watu aliofanana nao, eti Tanzania Mortgage Refinancing, shiit rais gani huyu na bado mpaka atakoma
 
angedizzle Hiyo kasi yakutaka kuinunua NBC LTD ndo inaishia kufunga mawatawi amabyo mtu asafiri makilomita kufuata huduma za kibenki? kukua kwa benki ni kuwa na mtandao wa matawi mengi kufunga maanke ni kudumaa kwa amana watu hawatitumii benki hiyo kwa kukosa mvuto wa huduma wenye bidhaa zinazotakiwa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom