Barclays Loan and prestige account

Barclays Loan and prestige account

Buswelu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2007
Posts
1,998
Reaction score
356
Hello JF Wachumi

Wakuu....Kuna Loan hizi za Barclays bank ambazo zinakuwa ni 4yrs payment kama umechukua 10m tsh.
Ukilipa vyema kwa three years consecutive.Wanachagua wateja wao ambao wamelipa vyema bila matatizo
wanawapa nafasi ya ku topup(Naomba Ufafanuzi wa hili) tena amout.Halafu unabadili account yako kutoka
kwenye account ya kawaida kwenda Prestige ambay inacharge ya Tsh.15,500 per month.i.e 3,500 monthly Ledger
fee plus Tsh.12,000 monthly fee kwa hadhi ya kupata service za hiyo Account..i.e kuwa na Dirisha la peke
la kuhudimia watu wa Prestige,Discounts,plus Overdraft facility..yaani unaweza kutoa zaidi ya balance yako
kwa Tsh.laki moja bila charge....!!

Je swali langu ni kwenye topup hapo na makato yanakuwaje je kama walikuwa wanakukata 25% riba.
Itaendelea hiyo hiyo au wataongeza kwa kwa namna yoyote?Ile?Wanasema kuna discount kwenye
some of hotels ambazo wameingia nazo mkataba kwa wateja wao ambao wana prestige customers.
Kama kuna mwenzetu humu ndani ambaye ana maelezo mazuri kuhusu hili naomba msaada...kabla
wengi wetu hatujaingia kichwa kichwa.

Wenu wa Heshima
Buswelu
 
Buswelu ahsante sana... Jamani na mimi naungana na Buswelu,Mdau anayefahamu atujuze...:help::help::help: please Help...
 
Nilikuwa nikisoma kwenye magazeti malalamiko mengi mengi kutoka kwa wateja kuhusu services zao na jeuri zao.

Inawezekana wamejirekebisha lakini ulizia kwa karibu kabla ya kufanya uamuzi.
 
Buswelu ahsante sana... Jamani na mimi naungana na Buswelu,Mdau anayefahamu atujuze.

thanks.JPG
 
Watch out
nilikuwa arusha tawi lao kila siku ukidamka asbh unakuta wateja wanalalamika wamekuta ongezeko la kipumbavu kwenye deni zao usipokuwa strong unaletewa vioja vya ajabu ajabu oohh ulichelewa ukunini...wengine wanakiri kabisa unakuta machine inakata automatic deni lako na huku unakuta mtu amekata manua l deni lako haamad kama ufwatilii unakuta ukikatwa mara mbili na hili utajua mwishoni pesa imeisha bila kutaraji.....
Unalolo babu!!!!!
 
THis kinda negative side...all i need to know ni kuhusu hoja yangu...hapo juu...sio negative or positive side of bank...Pdidy
 
Mdogo wangu panapofuka moshi hapatakosa kuwaka moto baadae. Utakuta unakatwa services za ajabu usije kulalamika baadae.
 
hayo ya barcklays ni kweli kabisa. Kuna jama yangu alikuwa ana account moja ya mkopo lakini akajikuta anakatwa mara mbili kila mwezi. Amelalamika wee amefuatilia, ameandika barua ni kuzungushwa tu. Nashauri tafuta benk zenye ukweli. Siyo waaminifu hao hata kidogo.
 
jamani amesema yeye hajali -ve side za hiyo bank, anachotaka ni ufafanuzi wa huo mkopo tu! mengine mwachieni yeye.
 
nitakuja na jibu la kutosha kesho mpendwa ngoja nikamkabe jamaa!!atanipa maelezo tu
 
Hello JF Wachumi

Wakuu....Kuna Loan hizi za Barclays bank ambazo zinakuwa ni 4yrs payment kama umechukua 10m tsh.
Ukilipa vyema kwa three years consecutive.Wanachagua wateja wao ambao wamelipa vyema bila matatizo
wanawapa nafasi ya ku topup(Naomba Ufafanuzi wa hili) tena amout.Halafu unabadili account yako kutoka
kwenye account ya kawaida kwenda Prestige ambay inacharge ya Tsh.15,500 per month.i.e 3,500 monthly Ledger
fee plus Tsh.12,000 monthly fee kwa hadhi ya kupata service za hiyo Account..i.e kuwa na Dirisha la peke
la kuhudimia watu wa Prestige,Discounts,plus Overdraft facility..yaani unaweza kutoa zaidi ya balance yako
kwa Tsh.laki moja bila charge....!!

Je swali langu ni kwenye topup hapo na makato yanakuwaje je kama walikuwa wanakukata 25% riba.
Itaendelea hiyo hiyo au wataongeza kwa kwa namna yoyote?Ile?Wanasema kuna discount kwenye
some of hotels ambazo wameingia nazo mkataba kwa wateja wao ambao wana prestige customers.
Kama kuna mwenzetu humu ndani ambaye ana maelezo mazuri kuhusu hili naomba msaada...kabla
wengi wetu hatujaingia kichwa kichwa.

Wenu wa Heshima
Buswelu

Nilifunga ac yangu huko maana kulikua na charge zisizoeleweka

sasa kama unahtaji sana kujua kwann usiende bank upate maelezo yote?
 
THis kinda negative side...all i need to know ni kuhusu hoja yangu...hapo juu...sio negative or positive side of bank...Pdidy

Inaonekana you have already made up your mind, unataka kuwa prestige customer. Nenda Barclays uwaulize. Utapata jibu lakukushawishi uwe mteja wao. Sisi tunaowajua inaonekana hatuwezi kukubadilisha mawazo.
 
Na mie nimeletewa hii Prestige account, nasubiria maelezo zaidi.
Kuhusu negative side hizo nimeishazisikia kutoka kwa watu waliokopa bank tofauti tofauti mmoja KCB, wengi tu NMB, wanasema unachotakiwa kufanya ni mshahara ukiingia tu unatoa hela yote unabakiza deni yao tu. Ukichelewa tu automatic then mauala inakata!
 
1. Suala la kufanya top up ya mkopo haliongezi interest bali kama tayari umelipa kwa hiyo miaka maana yake wanafanya kama tayari umelipa kiasi chote na wanakupa mkopo mpya na kile kiasi kilichokuwa kimebaki wanakipunguza kwenye kiasi unachostahili. Ni very simple kama ukienda bank mnafanya pamoja.
2. Suala la prestidge customers ni market segmentation pamoja na kupunguza udhia kwa baadhi ya watu. Nadhani hii inatakiwa kuwa emphasized na bank zote maana kwanza inaongeza faida kwa bank, kwa sababu services ni expensive. Foleni ya watu wanao bank Tshs 5,000 na mtu mwenye transaction za millions/billions bila option haina mpango.
3. Suala la discounts na overdraft facilities ni advantage kwa yule mwenye account. Interest rates za mikopo huwa zinatofautiana kutokana na risk assessment zao (Integrity na mambo mengine) ndiyo maana mkopo wowote na rate huwa ni private and confidential. Kabla ya kuchukua mkopo jaribu kuuliza maswali ya kutosha na upewe scheme nzima ya mkopo maana kuna mambo ya time value of money watu wengi huwa hawaelewi wanadhani akiambiwa 25% ndiyo hiyo hiyo. Unatakiwa kuelewa masharti ya mkataba maana saa nyingine wanakwambia bank inaweza kubadili interest rate nk.
4. Ukiwa na account au umechukua mkopo jitahidi kila mwezi kupata statement na ujiridhishe kama transactions zote ni sahihi. Kama una kuna tatizo na mtu anakujibu hovyo si kuna higher authority.

Ni mambo mengi
 
Back
Top Bottom