Buswelu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 1,998
- 356
Hello JF Wachumi
Wakuu....Kuna Loan hizi za Barclays bank ambazo zinakuwa ni 4yrs payment kama umechukua 10m tsh.
Ukilipa vyema kwa three years consecutive.Wanachagua wateja wao ambao wamelipa vyema bila matatizo
wanawapa nafasi ya ku topup(Naomba Ufafanuzi wa hili) tena amout.Halafu unabadili account yako kutoka
kwenye account ya kawaida kwenda Prestige ambay inacharge ya Tsh.15,500 per month.i.e 3,500 monthly Ledger
fee plus Tsh.12,000 monthly fee kwa hadhi ya kupata service za hiyo Account..i.e kuwa na Dirisha la peke
la kuhudimia watu wa Prestige,Discounts,plus Overdraft facility..yaani unaweza kutoa zaidi ya balance yako
kwa Tsh.laki moja bila charge....!!
Je swali langu ni kwenye topup hapo na makato yanakuwaje je kama walikuwa wanakukata 25% riba.
Itaendelea hiyo hiyo au wataongeza kwa kwa namna yoyote?Ile?Wanasema kuna discount kwenye
some of hotels ambazo wameingia nazo mkataba kwa wateja wao ambao wana prestige customers.
Kama kuna mwenzetu humu ndani ambaye ana maelezo mazuri kuhusu hili naomba msaada...kabla
wengi wetu hatujaingia kichwa kichwa.
Wenu wa Heshima