Baridi la Makete

Hakuna Raha yoyote ya kukaa sehemu ya baridi,last year nilienda mbeya msimu wa baridi na sikulala wala kuenjoy,baridi inaumiza na inataka ukae ndani tu. Ina limit sana movement hata Bata nilishindwa kula.

Baridi inatesa sana,maji unayaona kama acid,hata kunywa Maji unajiona mzito.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…