Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mae!ni wapi huku?Hali ni tete...View attachment 2282204
Njombe...Mae!ni wapi huku?
Bila kuongeza demu kwenye list umebugiInategemea na pahala umefikia. Kama umefikia sehemu comfortable, chumba kizuri cha kisasa, madirisha ya vioo,kumepigwa ceiling nzuri. Ndani kuna umeme, TV nzuri kubwa ,kinga'muzi kilicholipiwa na External Hard drive yenye movie za kutosha,kitanda kina blanketi nzuri nzito za kukupa joto.
Jikoni kuwe na chakula especially bites za kutosha kama biscuits, karanga, tambi, zabibu kavu, matunda mbali mbali, kahawa nzuri kama Nestle, maziwa, asali, tangawizi ya unga, heater ya maji, upate na internet hapo aaaaaah wewe hautataka kuondoka hilo eneo.
Factstafiti zinaonyesha ni rahisi na ni nafuu kupambana na baridi kuliko joto,joto linasababisha mpaka stress likikubali,wakazi wa dar wanajua.