Baridi la Makete

tafiti zinaonyesha ni rahisi na ni nafuu kupambana na baridi kuliko joto,joto linasababisha mpaka stress likikubali,wakazi wa dar wanajua.
Joto ndio rahisi kupambana nalo,Nadhani unakumbuka kuna AC.
 
Last week nilikuwa huko ilikuwa inasoma 5 nilivaa suruali 2, soks 6, fulana, Tshirt, shati, sweta, gloves za sweta na mzura (wao wanaita musula) ndipo nikapata kausingizi
Si ya kucheka [emoji23][emoji23][emoji23]
 
joto likikubali lile halina upepo wa kulipoza unahisi hewa nzito yani unahisi kufa kufa
Nitakoga hata mara 7 kwa siku potelea bondeni.

Ila baridi inatesa mtu kujikunyata kila wakati kama umeonewa.
 
Kitulo ni 3 wakati ni suny
 
joto likikubali lile halina upepo wa kulipoza unahisi hewa nzito yani unahisi kufa kufa
hawa wanazungumzia joto linalopoozwa na fan[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

hawajui kuna wakati AC huwa zinasanda.
 
Nitakoga hata mara 7 kwa siku potelea bondeni.

Ila baridi inatesa mtu kujikunyata kila wakati kama umeonewa.
Baridi ya mbeya Ina upepo na humidity afadhali Ile baridi dry kuliko baridi ya upepo na hewa yake Ina umajimaji.

Zipo Nchi mpaka snow inashuka ila kama hakuna upepo na humidity basi hutoskia baridi kama ukiwepo njombe ambayo Haina snow
 
Jana nimejikuta fala na ni hapa dar nimelala nahisi baridi huku na huku nimevaa fulana kabisa na bukta

Nakuja gundua kuwa nimelala na feni linko on nikazima nikaona sio kali kawaida tu

Anyway makete ukijamba ushuzi unaganda kama jiwe
 
Duh na kazi na ofisi ni humo humo ndo mwalimu na shule nzima walimu wawili tu
 
Kama baridi ya Makete inazidi ile ya Makambako basi sina comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…