Kaory
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 537
- 1,114
KabisaUmeona eeh!
Hii ilipaswa ipangiwe trip jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaUmeona eeh!
Hii ilipaswa ipangiwe trip jamani
Hivi ulaya wana mpaka - ve centigrade na wanaishiKule ni kilio kwenye biblia wameandika cha kusaga meno
AlaskaHivi ulaya wana mpaka - ve centigrade na wanaishi
Kabla hatujazamia tuanze mazoezi hahahaAlaska
Duu bora unesema,nilikuwa sijui kama baridi husababisha mafua yasiyopona haraka.Nilikuwa huko nimepata mafua ambayo hayajapona mpaka leo kudadadadeki
Hii baridi ya mwaka huu ni noma Sana, 👇
----
View attachment 2280883
Ikiwa bado hali ya hewa ya baridi kuwa kali katika baadhi ya maeneo nchini ikiwemo Mkoa wa Njombe kupelekea shughuli za kiuchumu kuwa na ugumu katika utekelezwaji kutokana na wakazi wa maneno hayo kupunguza muda wa kufanya kazi kwa kutafuta vyanzo vya joto sasa leo hizi picha na video kutokea Wilaya ya Makete ushuhudie Baridi lake huko katika hifadhi ya Taifa Kitulo.
Duu bora unesema,nilikuwa sijui kama baridi husababisha mafua yasiyopona haraka.
Kwasasa napitia hali ngumu ya mafua makali ni mwezi sasa!
Kisa hapo nyuma nilikuwa nikiwndesha pikipiki mida ya asubuhu na maeneo hayo kuna baridi kali.Mpaka sasa nimeanza kuhofia kuwa kinga yangu ipo chini,kumbe ni baridi!!