Baridi ya Njombe yahatarisha maisha, Dereva ashindwa kuendesha gari kutokana na Barafu

Nilikuwa huko nimepata mafua ambayo hayajapona mpaka leo kudadadadeki
Duu bora unesema,nilikuwa sijui kama baridi husababisha mafua yasiyopona haraka.
Kwasasa napitia hali ngumu ya mafua makali ni mwezi sasa!
Kisa hapo nyuma nilikuwa nikiwndesha pikipiki mida ya asubuhu na maeneo hayo kuna baridi kali.Mpaka sasa nimeanza kuhofia kuwa kinga yangu ipo chini,kumbe ni baridi!!
 

Mimi nasubiri ukanda ulee waje kufananisha baridi ya njombe na ya ukanda wao ipi kali ๐Ÿ˜๐Ÿ˜ hili battle ni balaa aise, nasubiri hapa.
 

Halafu tunawashangaa na kuwacheka wazungu wanapata mafua๐Ÿ˜ sometimes sifa zinaumbua mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ