Maji hutibu baridi yabisi rheumatism & Arthritis
Maumivu ya kwenye mauingio ya mwili (baridi yabisi), hasa magoti, ni dalili nyingine ya upungufu wa maji katika sehemu hizo. Ni ugonjwa unaoweza kumpata mtu mzima na mtoto. Umezaji wa vidonge vya kupunguza maumivu hakuondoi tatizo, bali hufanya hali kuwa mbaya. Kunywa maji mengi na chumvi kidogo kunaweza kuliondoa tatizo kabisa.
Au Pia waweza kutumia njia hii hapa ya kunywa Maji ya Uvuguvugu:
Kwa Mtu Mgonjwa wa Maradhi yoyote inatakikana awe anakunywa maji moto Au Maji ya Uvuguvugu anapo amka
Asubuhi kabla ya kupiga mswaki anywe Glasi 2 za Maji ya moto na baada ya kupiga Mswaki
anywe glasi 1 na kabla ya kunywa chai anywe Glasi moja ya maji moto kila siku afanye hivyo kwa wakati wa asubuhi.
Na Wakati wa mchana Dakika 15 au dakika 30 kabla ya kula chakula cha mchana unywe maji ya
moto au Maji ya Uvuguvugu Glasi 1.
Na Wakati wa chakula cha Usiku unatakiwa unywe Maji ya moto au ya Uvuguvugu Glasi 2 kabla yasaa moja kula chakula cha usiku.
na unywe Maji ya moto au Ya Uvuguvugu Glasi 1 kabla ya kwenda kulala usiku.