Mpenda majungu ni wewe unaye quote na kuandika ----- au nyie mlio na majungu Tanzania style ya kutungia mtu uongo na pia kulazimisha maneno.
Sasa kiba kaingiaje....
Haya mbele elekea....
Chukua kiti ukae usubiri adondoke unawashwa kipi kuingia nyuzi za daimond shindwa na ulegeeee cc matumbo
We mgeni Tanzania eeh? No wonder bado unatabiri anguko la Diamond, wenzio wameanza kupiga ramli since 2010. Kiko wapi? Chukueni vigoda mkae msubiri.
Kafie posta 😸😸😸😸😸
Kwa hii nasema nawe lazima achukue kumi za Kilimanjaro maana kagusa mioyo ya watanzania wengi
Mimi sio mgeni bibie na ndio maana nimeongea hayo, diamond wa 2010 siyo huyu aliye na migogoro inayomsumbua si kwenye muziki, si kwenye mahusiano, na.anachofanya sasa ni kuwaprove wrong wabaya wake, hahaha ndo maana kaanza imba majungu, tutaona mwaka huu kama atakusanya tuzo kama za mwaka jana. Tehteh
Mimi sio mgeni bibie na ndio maana nimeongea hayo, diamond wa 2010 siyo huyu aliye na migogoro inayomsumbua si kwenye muziki, si kwenye mahusiano, na.anachofanya sasa ni kuwaprove wrong wabaya wake, hahaha ndo maana kaanza imba majungu, tutaona mwaka huu kama atakusanya tuzo kama za mwaka jana. Tehteh
Dua la kuku halimpati mwewe iv huoni ka uko peke ako haman mtu mwenye hati miliki ya wimbo wowote ataimba kile mashabik tunataka pyeeeeee
Huoni kuwa hayo ni mawazo yako tu. Nadhani hayana madhara yoyote kwenye muziki wa chibu.
namuunga mkono barnaba pale kwa chibu hakuna mziki ndio nilisema juzi kuwa anabebwa na mapromo tu watu wakanishambulia hatari,nikasema aende kwa KIBA afundishwe mziki bado nikashambuliwa haya sasa barnaba nae kasema mshambulieni nae
Kwa hiyo safari hii mlitaka twaarabu, basi sawaaa kateni viuno watoto wa kibongo
Exactly na tuzo tutachukua zote
View attachment 238365
Jana, Wakati akihojiwa na Mwanadada Shadee kwenye Kipindi cha Clouds E cha Clouds TV, Msanii 'Fundi wa Muziki' kutoka nyumba ya vipaji THT, Barnaba Elias 'Barnaba', pamoja na mambo mengi aliyozungumzia, alitoa maelezo kuhusu wasanii watano anaowakubali na sifa zao Kimuziki ambapo alimtaja Msanii wa BongoFleva Diamond Platnumz kuwa sio 'Mwanamuziki' mwenye kujua kuimba muziki kiufundi.
Akifafanua kauli yake kwa mapana , Barnaba alieleza kwamba Diamond hajui kuimba kufuatana na alama zote muhimu za muziki, bali hutumia mtindo flani wa kuimba 'kiujanja', mtindo ambao kwa wanaojua kuimba muziki technically huwa wanautumia pale wanapofeli kufuata kanuni za uimbaji wakati wakiimba.
Hata hivyo, alimsifia kwa kuwa 'mjanja' na kuweza kufanya muziki wake kuvutia na kuleta ladha.
Orodha ya wasanii ambao aliwatolea maoni na kusema ni wasanii anaowakubali sana ni pamoja na, Diamond, Ally Kiba, Ditto, Amini na yeye mwenyewe.
Mwaka huu mondi hapati tuzo kilimanjaro, chezea wabongo wasivyopenda mashauzi
achana na mtu aliyekwisha ngoa tunzo 7 per one night, unataka arudi Kilimanjaro awards kufanya nini na wakati za BET zinangoja??