unanitaka
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 2,178
- 1,045
Mpenda majungu ni wewe unaye quote na kuandika ----- au nyie mlio na majungu Tanzania style ya kutungia mtu uongo na pia kulazimisha maneno.
Sasa kiba kaingiaje....
Haya mbele elekea....
Mfalme anaimba twaarab nishasema mabifu na migogoro ya wanawake itamponza ona sasa, kaanza kuwasuta kwenye nyimbo, bye bye mfalme tulikupenda, ila mademu walikupenda zaidi