Barnaba: Diamond sio Mwanamuziki

N kweli mchizi ajui kuimba anae jua ni barnaba, amini.....ila wengine amna kitu...
 
namuunga mkono barnaba pale kwa chibu hakuna mziki ndio nilisema juzi kuwa anabebwa na mapromo tu watu wakanishambulia hatari,nikasema aende kwa KIBA afundishwe mziki bado nikashambuliwa haya sasa barnaba nae kasema mshambulieni nae

Kiba nae ajui kuimba labda amini na barnaba.....
 

Duhh apo sawa Asante kwa gazeti ili ata barnaba akiliona itakuwa safi xana......
 
Huhuhuhuhuuu Banaba boy could be very right diamond huenda hana kipaji cha kuzaliwa wala cha THT, lakini msichotaka kukikubali ni fact kwamba diamond anajua kunata na bits, kijana ni mbunifu, anajua kusoma saa ya mshale, kijana ANAJUHUDI za wazi tangible works and thats what we who loves hard working people are mad at, NOTA sijui KEY za mziki bakini nazo nyie akina barnaba sijui nani LAKINI mtaishia kusugua gaga hapa tz miaka nenda miaka rudi, show zenu kubwa zitabaki kuwa fiesta na KLM
 

Halooooooooooooo hivi malimau yameishaa ujuee watu watapika kwa kichefuchefu
 
Juma nature alimwimba sintah weeeee matokeo yake watu wakamchoka, ndo hayo anayokuja nayo huyu domo, wa tandale ni wa tandale tu
 
barnada hajaongea kishabiki ofcoz lakini alichokisema ndicho kiuchomacho moyo wake, it is like how possible mtu ajiibue kiutani utani hapo tandale, hajapata any official training as i did, hafuati sheria za muziki kama mimi wengine kule wanajiwazia haka katoto kanakuwa nakaona, ni mimi ndie niliyemrecodia wimbo wake wa kwanza, alikiwa anakuja back stage akiniomba angalau apande jukwaani na mimi alafu ashuke tu hata asipoimba, alafu eti sasa hivi ndio kananikimbiza kama fast jet??? aaangreeeeee!!!! , KIUKWELI INAUMA, LAKINI NDIO HIVYO HAMNA JINSI WALA KODRAI WENYE VIPAJI VYENU ENDELEENI KUNGATA MENO mutoto ya tandale isiyojua muziki ndio habari ya dunia.
 
kumbe unadhania watanzania ni nyie mnaomchukia tuu, sisi tunaompenda tutakuwa wapi???

Kutoa mawazo yako si kumchukia mtu, anyway watu wasiokuwa na akili ya kupambanua mambo kama wewe ndo mnajump into conlusion hiyo, any way wadau wanasema bongoflavour kamwachia kiba yeye kaenda kwenye fani anayoiweza, majungu.com
 
Haya makasheshe na wanawake yatampoteza dogo, badala ya kuwaza muziki ye anawaza kushindana na watalaka wake na scandal zao, mara bifu na alikiba, pia naskia ana nyodo sana now days hasa katika malipo ya show zake, naliona anguko lake

hahahahahahahaaaaa unaliona anguko lake??? have a sit plzzzz, unatumia kinywaji gani???
 
hahahahahahahaaaaa unaliona anguko lake??? have a sit plzzzz, unatumia kinywaji gani???

hahahah au mondi ashakulipa ya kumkatia mauno? Anyway ninunulie chochote beibe na haka kamvua kitashuka muruuuuuaaa
 

mimi sijui muziki kiukweli, ndio maana katika hili nitakuwa nutroo japo mziki mtamu ninaufeel bila ukakasi, huenda barnaba anaujua mziki, sheria zake kutumia vyombo na vitu kama hivyo, kwa sababu amekuwa trained LAKINI it is very sad kwa kweli kusema as for me hakuna wimbo wa banaba hata mmoja wenye ladha jamani sio ya sukari wala ya chumvi hata utie ndimu nyimbo zake ni flat kama rula.
 

Ww ndo kama Mondi alowasema Barnaba
 

Go Chibu Go.

Tanzania tusio jua mziki tupo wengi sana tuta kusupport mpaka pumzi ya mwisho,

sababu Anaonyesha juhudi na anajituma kwa anacho kifanya.

Viva viva Wasafi clasic
 
Huyu barnaba akalale mbele wivu tu, yeye anayemjua muziki basi mbona hata hajulikani kama Diamond duniani?

Wivu...

Haya Diamond kashusha mwimbo mpya na Khadija Kopa kasikilize na video juu bomba yaani usikose utapitwa

Barnaba kaonyesha tu watu kwamba katika uimbaji wa mziki wake kuna weakness although he is a gud musician, sasa hapo wivu uko api, watz hatupendi kukosoana that's why tupo nyuma Kwa kila kitu
 
Ww ndo kama Mondi alowasema Barnaba

haswaaaa wala hujakosea mimi ndio wale wale wasiojua mziki lakini tunajua mziki mtamu na mfano wa mziki mtamu ni wa diamind ze dangote le prezidaaaaa
 
hahahah au mondi ashakulipa ya kumkatia mauno? Anyway ninunulie chochote beibe na haka kamvua kitashuka muruuuuuaaa

mauno tunakatiana bureeeee wala hakuna malipo si unajua tena mahaba nivibretishe kama simu ya mchina nimejikuta tu kila nionapo kazi zake naweweseka nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…