Barnaba na Christian Bella, hili tangazo la nyakanyaka bonus mmekula pesa kihalali

Barnaba na Christian Bella, hili tangazo la nyakanyaka bonus mmekula pesa kihalali

don williama

Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
48
Reaction score
72
Jaman unaweza kuonekana kituko mtu mzima kushabikia tangazo lakini hawa jamaa(Barnabas classic na Christian Bella wamelitendea haki hili tangazo la Nyaka Nyaka Bonus

Hakika hawa washikaji wameimba mtu yoyote mwenye feeling na mziki mzuri atakua ameona uwezo wa hao miamba wawili
 
..jaman MTU unaweza kuonekana kituko MTU mzima kushabikia tangazo lakin hawa jamaa(Barnabas classic vs christian bella wamelitendea haki hili tangazo LA NyAka Nyaka Bonus
Hakika hawa washikaji wameimba .mtu yoyote mwenye feeling na mziki mzuri atakua ameona uwezo wa hao miamba wawili
na wewe hongera kwa kuleta tangazo la nyakanyaka kishkaji hapa
 
Wanatakiwa wakamatwe.
Tangazo lina kelele kama nini, umekaa unasikiliza habari redioni mara ghafla unaskia TIKOOOOOO...

Utadhani umeenda bendi
 
Back
Top Bottom