Tumeshazoea propaganda za kina zitto. Tuliambiwa tutapelekwa MIGA. Achana na huyo vuvuzela
Sasa wewe humujui Zitto kwa uongo? Kwani ni mara yake ya kuanika uongo?Lakini mbona ameanika kila kitu wazi, tatizo wazembe wa kusoma.
Sasa wewe humujui Zitto kwa uongo? Kwani ni mara yake ya kuanika uongo?
Una uhakika hiyo ni nyaraka ya umma au ya kubumba!Zitto muongo sawa, lakini alichoanika kipo wazi, sasa hebu jiongeze umpuuze Zitto, ujisomee mwenyewe maana ni nyaraka za umma.
Una uhakika hiyo ni nyaraka ya umma au ya kubumba!
Wakati mwingine tumia ubongo basi. Kweli makubaliano ya GOT na Barrick yapatikane kwa Accacia aliyefutwa kazi?? Makubaliano ya GOT na Barrick yatafuate baada ya huyo Accacia kufurushwa TZ.Ndio maana nasema mnaponda bila kusoma, nyaraka zote zimewekwa wazi kwenye tovuti ya Acacia, alichofanya Zitto ni kuwaelekeza wapi pa kuangalia ikitokea mna uzembe wa kusoma kila kitu.
Ifuate hii hapa kwenye tovuti ya Acacia, soma appendix 4 https://www.acaciamining.com/~/media/Files/A/Acacia/press-release/2019/acacia-2-7-announcement.pdf
Wakati mwingine tumia ubongo basi. Kweli makubaliano ya GOT na Barrick yapatikane kwa Accacia aliyefutwa kazi?? Makubaliano ya GOT na Barrick yatafuate baada ya huyo Accacia kufurushwa TZ.
Kenya ndiyo huliwa. Wachina wamewafanyaje kwenye SGR?Hayo hapo ni makubaliano baina ya Barrick na Accacia na yameambatanisha makubaliano ya GoT.
Anyway hivi ndio huwa mnaliwa, wazembe na waoga wa kusoma wala kuhoji.
Wakati mwingine tumia ubongo basi. Kweli makubaliano ya GOT na Barrick yapatikane kwa Accacia aliyefutwa kazi?? Makubaliano ya GOT na Barrick yatafuate baada ya huyo Accacia kufurushwa TZ.
Kenya ndiyo huliwa. Wachina wamewafanyaje kwenye SGR?
Nchi yenu ni sawa na mkoa mmoja tu wa TZKipi kimefanywa kwenye SGR, maana reli ya SGR tunayo tunaitumia, tunaiona na kupata raha kila siku, kilomita 500km, na mkondo wa pili wa Naivasha upo unakamilika, ilhali China tayari wamekubali kutoa hela za kufikisha Kisumu ikielekea Uganda.
Kwanza ikifika Kisumu apo tutakua na uhakika wa soko lote la Tanzania kanda ya ziwa.
Tanzania hadi leo huwa naskia mnajenga SGR, hata kale kasafu ka mwanzo kilomita 200km bado ni stori tu, nilitegemea hadi hapo atleast muwe mumeanza kukatumia.
Juzi mumerudi kwa Mchina bila aibu kumbembeleza awape hela za SGR, Mchina ambaye huwa mnamsema vibaya.
Kipi kimefanywa kwenye SGR, maana reli ya SGR tunayo tunaitumia, tunaiona na kupata raha kila siku, kilomita 500km, na mkondo wa pili wa Naivasha upo unakamilika, ilhali China tayari wamekubali kutoa hela za kufikisha Kisumu ikielekea Uganda.