Barrick and Acacia Reach Buyout Deal

Barrick and Acacia Reach Buyout Deal

Sasa wewe humujui Zitto kwa uongo? Kwani ni mara yake ya kuanika uongo?

Zitto muongo sawa, lakini alichoanika kipo wazi, sasa hebu jiongeze umpuuze Zitto, ujisomee mwenyewe maana ni nyaraka za umma.
 
Una uhakika hiyo ni nyaraka ya umma au ya kubumba!
 
Ndio maana nasema mnaponda bila kusoma, nyaraka zote zimewekwa wazi kwenye tovuti ya Acacia, alichofanya Zitto ni kuwaelekeza wapi pa kuangalia ikitokea mna uzembe wa kusoma kila kitu.
Ifuate hii hapa kwenye tovuti ya Acacia, soma appendix 4 https://www.acaciamining.com/~/media/Files/A/Acacia/press-release/2019/acacia-2-7-announcement.pdf
Wakati mwingine tumia ubongo basi. Kweli makubaliano ya GOT na Barrick yapatikane kwa Accacia aliyefutwa kazi?? Makubaliano ya GOT na Barrick yatafuate baada ya huyo Accacia kufurushwa TZ.
 
Hayo hapo ni makubaliano baina ya Barrick na Accacia na yameambatanisha makubaliano ya GoT.
Anyway hivi ndio huwa mnaliwa, wazembe na waoga wa kusoma wala kuhoji.
 
Wakati mwingine tumia ubongo basi. Kweli makubaliano ya GOT na Barrick yapatikane kwa Accacia aliyefutwa kazi?? Makubaliano ya GOT na Barrick yatafuate baada ya huyo Accacia kufurushwa TZ.

Bro unahoji maswali ya msingi kweli kweli.
 
Kenya ndiyo huliwa. Wachina wamewafanyaje kwenye SGR?

Kipi kimefanywa kwenye SGR, maana reli ya SGR tunayo tunaitumia, tunaiona na kupata raha kila siku, kilomita 500km, na mkondo wa pili wa Naivasha upo unakamilika, ilhali China tayari wamekubali kutoa hela za kufikisha Kisumu ikielekea Uganda.
Kwanza ikifika Kisumu apo tutakua na uhakika wa soko lote la Tanzania kanda ya ziwa.

Tanzania hadi leo huwa naskia mnajenga SGR, hata kale kasafu ka mwanzo kilomita 200km bado ni stori tu, nilitegemea hadi hapo atleast muwe mumeanza kukatumia.
Juzi mumerudi kwa Mchina bila aibu kumbembeleza awape hela za SGR, Mchina ambaye huwa mnamsema vibaya.
 
Nchi yenu ni sawa na mkoa mmoja tu wa TZ
 
Unajua ratiba ya mkandarasi kwa mujibu wa mkataba? Ndiyo sawa na sisi tukuulize kuwa kwa nini hamjaanza kutumia SGR ya Nairobi - Naivasha.
 
Kipi kimefanywa kwenye SGR, maana reli ya SGR tunayo tunaitumia, tunaiona na kupata raha kila siku, kilomita 500km, na mkondo wa pili wa Naivasha upo unakamilika, ilhali China tayari wamekubali kutoa hela za kufikisha Kisumu ikielekea Uganda.
Kwanza ikifika Kisumu apo tutakua na uhakika wa soko lote la Tanzania kanda ya ziwa.

Tanzania hadi leo huwa naskia mnajenga SGR, hata kale kasafu ka mwanzo kilomita 200km bado ni stori tu, nilitegemea hadi hapo atleast muwe mumeanza kukatumia.
Juzi mumerudi kwa Mchina bila aibu kumbembeleza awape hela za SGR, Mchina ambaye huwa mnamsema vibaya.

Suala siyo kuwa na SGR, Bali ni ile financial model and analysis iliyotumika. The currency is in us$, the discount rate used is far higher than your risk free coupon rate.
Mko salama kweli hapo.
Ilibidi me mtualike sisi wataalam wa international capital budget tukuandalieni projected income statement.
😀😀😀
 
Back
Top Bottom