Barrick Gold and Tanzania reach agreement, govt to take stake in mines

Share ni 50/50. Au hawaoni?
 
QUOTE="Petro E. Mselewa, post: 24025174, member: 116264"]Kwa kitakachopatikana kutokana na mfumo mpya,hata noah ni jambo dogo.

Petro, NI VEYMA ukawa rational. Ulitegemea wagomee taratibu mpya za uwekezaji katika nchi ya ugeni? Tulikuwa tunaaminishwa kwamba tunadai malimbikizo ya arrears kutokana na under declaration ya mapato ambayo ilikuwa ni zaidi ya dolla trillion 400. Wamekubali kulipa dola 300 kama good will!. Ziko wapi fidia za wizi ule ulioasisiwa na ccm?

Hivi kweli ulitegemea ccm wale wale waasisi wa wizi ndio wabadilike waje na mkakati wa kulipwa fidia za wizi walioushiriki wao wenyewe?

Unaposema wamevuka malengo!. Malengo waliyovuka ni yapi? Trillion 400 USD hazikuwa moja ya malengo?

CCM WANAPASHWA KUACHA KUJIDHANIA WAO NDIO WENYE NCHI. WASHIRIKISHE BRAINS KUBWA ILI KUPATA MATOKEO MAKUBWA YA PAMOJA. VINGINEVYO ITAKUWA TANZA FEDHEHA SIKU ZOTE.[/QUOTE]
Mada hii inahusiana vipi na Ccm!
 
Akili kubwa ya kubadili gear angani?
 
Akili kubwa ya kubadili gear angani?[/QUOTE]
Bro andiko zuri ila unajua Tirioni USD ni sawa na Tsh ngapi za kitanzania? Nadhani ulimanaanisha dola billioni na sio Dola Tirioni
 
Akili kubwa ya kubadili gear angani?
Bro andiko zuri ila unajua Tirioni USD ni sawa na Tsh ngapi za kitanzania? Nadhani ulimanaanisha dola billioni na sio Dola Tirioni[/QUOTE]
Wewe utakua una matatizo kwenye ubongo wako, ubongo wako utakua una ugonjwa wa sotoka.

Professor Kabudi kasema wazi kabisa, kwamba katika eneo lililokua gumu ni hilo la ukwepaji kodi, na kasema ndo palipochelewesha majadiliano.

Ni malimbikizo ya miaka 17, kunahitajika uchunguzi wa kamati mbili, kwa maana ya Barrick na serikali, ni matukio ya nyuma na ya muda mrefu yenye kuhusisha fedha nyingi.

Hivyo mazungumzo yanaendelea kupata muafaka wa dai hilo la serikali.
Ispokua Barrick ametanguliza malipo ya usd $million 300 kuonyesha uaminifu wao katika hili jambo, unataka nini zaidi Wewe Bavicha?.

Hii ni update ya majadiliano ya mwanzo
 
Watu wanaishia kuongelea $300 mil hawaoni faida nyingine! Lol kweli watanzania sisi akili zetu ni zetu tu.
 
Mpaka USD 300 mln.[/QUOTE]
Kapesa kenyewe hakatoshi hata kuzungusha huo ukuta wake wa Mererani. Na ukichunguza kwa undani zaidi utakuta alichopewa ni sehemu ya bajeti ya kampuni kurudisha faida ya mgodi kwa jamii(yaani social corporate responsibility-CSR) ambayo siyo kitu kipya.
 
Akili kubwa ya kubadili gear angani?
Bro andiko zuri ila unajua Tirioni USD ni sawa na Tsh ngapi za kitanzania? Nadhani ulimanaanisha dola billioni na sio Dola Tirioni[/QUOTE]

No wonder hata wadaiwa walisema hata budget ya kupeleka satelite angani ya NASA, haifiki kwenye deni walilokuwa wakidaiwa.

watanzania million 55, kil mtu noa ya dola tuseme 10,000, itakuwa dola ngapi mkuu? Naona kama dola 550,000,000,000 hizo ni za noah tu!
 
[https://mw3]

Home

News Viewer

Markets

Investing

Personal Finance

Retirement

Economy

Real Estate

Entertainment

WatchlistAlertsGamesLog In

Home

Industries

Metals/Mining

Barrick Gold, Tanzania reach partnership deal

By Jacquie McNish

Published: Oct 19, 2017 11:41 a.m. ET

SHARE

TORONTO -- Barrick Gold Corp. said its African subsidiary will make a $300 million payment to the government of Tanzania as part of an agreement to resolve tax and revenue sharing disputes over its three gold mines in the country.

The Toronto-based mining company said its majority controlled Acacia Mining PLC has struck a framework for a new partnership that will hand the African government 50% of the economic benefits of its mining operations. Further details of the agreement weren't disclosed.

Acacia, the biggest gold miner in the country with $1 billion in annual revenue, was served with a $190 billion bill earlier this year for what Tanzanian authorities have said were unpaid taxes, penalties and interest accumulated over the past 17 years.

Tanzania banned exports from two of Acacia's mines in March after the government alleged it found 10 times more gold in the company's export containers that in declared to Tanzanian authorities. Acacia disputed the claim

The aggressive actions by Tanzania President John Magufuli, who earlier this year declared an "economic war" on foreign miners, prompted some companies to cease or scale back mining operations in the country.

The agreement was signed in the Tanzanian city of Dar es Salaam on Thursday morning following a meeting with Barrick Executive Chairman John Thornton and Mr. Magufuli.

"We have developed a framework for a modern, 21st century partnership that should ensure Acacia's operations generate sustainable benefits and mutual prosperity for the people of Tanzania, as well as for the owners of Barrick and Acacia," Mr. Thornton said in a statement.

Write to Jacquie McNish at Jacquie.McNish@wsj.com

MARKETWATCHPARTNER CENTER

Back to Top

[https://mw3]

Copyright [emoji767]2017 MarketWatch, Inc. All rights reserved.

By using this site you agree to the Terms of Service, Privacy Policy, and Cookie Policy (Updated Oct. 19, 2017).

Barrick Gold, Tanzania reach partnership deal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…