Barrick Gold and Tanzania reach agreement, govt to take stake in mines

Watu wanaishia kuongelea $300 mil hawaoni faida nyingine! Lol kweli watanzania sisi akili zetu ni zetu tu.

Lakini si nimeona hata hiyo $300 mil Acacia wamesema haipo na hawana kwa sasa, sijaelewa kisa cha nyie kukurupuka bila kuwekana sawa kabla ya kuja kwenye media na kujifedhehesha kiasi hiki.
Huyu anatoa tamko yule anatoa lingine kesho, mnayumbishwa kama minazi, maana mliahidiwa hela kiasi cha kila mmoja kumiliki noa, mkaishiwa kuahidiwa kulipwa chini ya asilimia moja, na pia hata hiyo bado ni chenga. Tatizo hamkai na kutafakari, kila mmoja anabwatuka tu....

Mtanzania wa kawaida asiyejua haya mahesabu anaishia kuyumbishwa yumbishwa hajui wa kumuamini.
 

Barrick Comments on Proposed Framework for Acacia Mining plc Operations in Tanzania


PDF | All amounts expressed in U.S. dollars

TORONTO, October 19, 2017 —Barrick Gold Corporation (NYSE:ABX)(TSX:ABX) (“Barrick”) would like to provide the following details concerning the proposal for a new, 21st century partnership with the Government of Tanzania.

Key terms of the proposal announced earlier today are as follows:

  • A new Tanzanian operating company will be created to manage Bulyanhulu, Buzwagi and North Mara, and all future operations in the country. The principle of total transparency between partners will define how this company operates. For instance, the Government of Tanzania will participate in decisions related to operations, investment, planning, procurement, and marketing.
  • This company will maximize employment of Tanzanians, building local capacity at all levels of the business, from board membership to operations. It will also increase procurement of goods and services within Tanzania. Barrick has also committed to work with the Government of Tanzania to advance concepts for increasing in-country beneficiation of gold.
  • Economic benefits from Bulyanhulu, Buzwagi, and North Mara would be distributed on a 50/50 basis between the new operating company and the Government of Tanzania. The Government’s share of economic benefits would be delivered in the form of royalties, taxes, and a 16 percent free carry interest in the Tanzanian operations.
  • In support of the working group’s ongoing efforts to resolve outstanding tax claims, Acacia will make a payment of $300 million to the Government of Tanzania, on terms to be settled by the working group.
  • Barrick and the Government of Tanzania are also reviewing conditions for the lifting of the country’s concentrate export ban.
  • The proposal is subject to review and approval by the Independent Committee of Acacia’s Board of Directors, and Acacia shareholders.
Barrick holds a 63.9 percent equity interest in Acacia, a publicly traded company listed on the London Stock Exchange that is operated independently of Barrick.

Barrick Gold Corporation - Barrick Comments on Proposed Framework for Acacia Mining plc Operations in Tanzania
 
Reactions: Oii

Ndio haya matamko mnayo copy paste humu, huyu anasema hiki yule anasema kingine.
Tulieni muache mihemko mje na kauli moja ambayo hata Accacia amehusika.
 
Ndio haya matamko mnayo copy paste humu, huyu anasema hiki yule anasema kingine.
Tulieni muache mihemko mje na kauli moja ambayo hata Accacia amehusika.

Hilo ndio tamko rasmi la kampuni mama ya Acacia, Barrick. Wakizingua wataona moto wa Magufuli.
 
duh,hii noma sana yaani mzungu hata Hana hizo hela na vile mulikuja na matusii

Hawa ni kicheko, yaani hii issue yote ni kizungmkuti kisichokua na muelekeo, nenda kule kwenye jukua la siasa za Watanzani uone wanavyokejeli hadi kicheko.
 
Hawa ni kicheko, yaani hii issue yote ni kizungmkuti kisichokua na muelekeo, nenda kule kwenye jukua la siasa za Watanzani uone wanavyokejeli hadi kicheko.

Sijui siku hizi umekumbwa na nini ndugu yangu. Ina maana hujui kuwa kuna nyumbu ambao wanapinga kila jambo? Asilimia kubwa ya watu kwenye Jukwaa la Siasa ni wafuata mkumbo ambao wanaombea nchi ishindwe kwa sababu zao za kipuuzi.

Angalia hapa dakika ya 1 hadi ya 7 umsikilize John L. Thornton , Executive Chairman of the Board wa Barrick. Achana na wajinga wajinga wa Jukwaa la Siasa wasio na hoja yoyote.

 
Reactions: Oii
Watamuelewa Magu walio mbeza
Huyu ni Chaguo la mungu kwa watanzania
Tunapaswa kuzidi kumuombea ana nia njema na Taifa Letu
Mwenyezi mungu twakuomba uzidi kumpa Afya njema Rais wetu
Mungu akikupenda kinachofuata
"tuonane paradisox3......... Kwenye mji wa raha"
 
Huyu ni mkikuyu jubilee fan, ashaingizwa mkenge na nyumbu, na uswahiba wa rao na bulldozer.
You don't have to prove anything to these mofos, wao wanaombea doom. So you will never change their minds, but time will tell.
 
duh,hii noma sana yaani mzungu hata Hana hizo hela na vile mulikuja na matusii

kutokuwa na hela ya kulipa ni jambo lingine kabisa.
by the way, the lion stake holder of acacia gave in during negotiation. so why worrying.
 
QUOTE="Petro E. Mselewa, post: 24025174, member: 116264"]Kwa kitakachopatikana kutokana na mfumo mpya,hata noah ni jambo dogo.

Petro, NI VEYMA ukawa rational. Ulitegemea wagomee taratibu mpya za uwekezaji katika nchi ya ugeni? Tulikuwa tunaaminishwa kwamba tunadai malimbikizo ya arrears kutokana na under declaration ya mapato ambayo ilikuwa ni zaidi ya dolla trillion 400. Wamekubali kulipa dola 300 kama good will!. Ziko wapi fidia za wizi ule ulioasisiwa na ccm?

Hivi kweli ulitegemea ccm wale wale waasisi wa wizi ndio wabadilike waje na mkakati wa kulipwa fidia za wizi walioushiriki wao wenyewe?

Unaposema wamevuka malengo!. Malengo waliyovuka ni yapi? Trillion 400 USD hazikuwa moja ya malengo?

CCM WANAPASHWA KUACHA KUJIDHANIA WAO NDIO WENYE NCHI. WASHIRIKISHE BRAINS KUBWA ILI KUPATA MATOKEO MAKUBWA YA PAMOJA. VINGINEVYO ITAKUWA TANZA FEDHEHA SIKU ZOTE.[/QUOTE]
dollar tilion400 sjakwelewa hii sio ugari na mlenda
 
Well tuseme hawana kwa sasa, Je hawatailipa? Obviously watailipa tu maana ni moja ya makubaliano.

Lakini nimetaadharisha kuwa ukiangalia faida nyingine, hyo $300m sio lolote hebu tuangalie faida hizi halafu tulinganishe na hyo $300m unayoipigia chapuo.

* Mgao wa 50/50 kutokana na faida ya dhahabu baada ya kukata kodi zote muhimu na za lazima za serikali.
* Umiliki wa hisa 16%
*Mrahaba 6%
* Kujenga kiwanda cha kuchenjua makinikia hapa nchini ( Ajira zinaongezeka)
*Madini tofauti na dhahabu, shaba na fedha (silver) yatakayopatikana kwenye makinikia itakuwa ni mali ya Tanzania moja kwa moja.
*Pesa zote za madini kuwekwa kwenye benki za hapa nchini.
*Ofisi za kampuni hii kujengwa hapa nchini na kuajiri watanzania.
*Kazi zote za migodini kufanywa na kampuni za kitanzania, isipokuwa zile ambazo hakuna kampuni yenye kuweza kuzifanya.
*Wafanyakazi kupewa mikataba ya kudumu na makazi badala ya mikataba ya mda.

Ziko faida nyingi sana ambazo mimi naona zina manufaa kwa taifa kuliko hata hyo $300m. Nikukumbushe kuwa tz inakuwa nchi ya kwanza duniani ambapo faida itakokotolewa baada ya kukata kodi zote, nchi nyingine zenye mgao kama huu faida inapigwa kabla ya kutoa kodi.
 
Hawa ni kicheko, yaani hii issue yote ni kizungmkuti kisichokua na muelekeo, nenda kule kwenye jukua la siasa za Watanzani uone wanavyokejeli hadi kicheko.

 
Acacia wana official site ya kutolea taarifa zao! Hebu tupe official statement inayoonyesha hiki ulichokipost hapa!

Otherwise utakuwa kama mtu anayetapatapa tu, Naona dawa inakuingia vizuri kabisa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…