HAKUNA UWONGO HAPA, NI UKWELI MTUPU. KESI ZOTE ZA UFISADI ZA SERIKALI ILIYOPITA ZOTE ZILIKUWA ZIKISHINDWA. TANZANIA ILIKUWA YA AJABU, MWENYE PESA NDIYE ALIYEKUWA AKISHINDA KESI. KODI ZOTE ZA WANANCHI ZILIKUWA ZIKIKUSANYWA NA WATU BINAFSI, KWA HIYO SERIKALI ILIKUWA HAINA PESA NA WENYE PESA NDIYO WALIOKUWA WAKISHINDA KESI. BADALA YA KUBWAKA NA UBISHI NA CHUKI YA SERIKALI HII YA WATU, UNGA MKONO, WEWE PIA NI MTANZANIA, RAIS MAGUFULI HAWEZI KUIFANYA HII KAZI PEKE YAKE, PAMOJA NA NGUVU ZAKO NA SAUTI YAKO, WEZI WOTE WA ESCROW, IPTL MV WATACHUKULIWA HATUA NA VYOMBO VYA SHERIA. AKIWASHITAKI TU BILA UCHUNGUZI UTAKUWA WA KWANZA KUMUITA DICTATOR. KUMBUKA NI MWAKA MMOJA TU TANGU ACHUKUWE MADARAKA NA AMEYAFANYA MENGI, ASIYEONA ANA CHUKI YA UFISADI.