Barrick Gold loses appeal vs 160bn/- tax evasion ruling

There was a technical issue that was overlooked at the time of filling the appeal, but I am told ACCACIA will file again this case.
 
Iwepo mahakamani wakati wa mkwere au baada ya mkwere ni kututoa nje ya hojaa...Haitusaidii kujua ilianza lini...
 
There was a technical issue that was overlooked at the time of filling the appeal, but I am told ACCACIA will file again this case.
yasije kiwa ya tanesko tena hapa tunaweza amrishwa kulipa asee....
 
This case was already in progress long before Hapa Kazi Tu which is just a
slogan.
 
Sheria za uwekezaji na kodi ziliandikwa na IMF na World Bank. Bunge letu lilipelekewa tu kitia muhuri. Ni lazima ziangaliwe upya hasa za madini. Tatizo JPM sasa amekuwa bunge na mahakama.
 
Nyuzi kama hizi wafata upepo wa politics hawapati kamwe
 
Kutaka kuudanganya umma wa Watanzania kwamba credit ya hukumu hii iende kwa Magufuli wakati kesi hii ilikuwepo mahakamani kabla ya yeye kuingia madarakani ni uongo ambao hauwezi kuachiwa kupita kimya kimya. Kujadili details kuhusiana na ukweli wa kesi hii si kutoka nje ya mada.

Iwepo mahakamani wakati wa mkwere au baada ya mkwere ni kututoa nje ya hojaa...Haitusaidii kujua ilianza lini...
 
But now, we are staying on coarse with strategic metrics. Hatua Mbili Mbele, Hapa Kazi Tu!
I can't agree any more but in order to implement "HATUA MBILI MBELE" there should be strict laws to penalise tax evaders.

The laws we have do not let the evaders suffer severe consequences. Surely this is the one of the factors which influences them to involve in tax cheating.

Also we really have a long way to promised land since there are so many impediments such as grand corruption which is a very serious problem in our country.

Let's be frank and support our president hope everything will be okay.
 
Sawa baba wa ligi...
 
Wewe ni mmoja wa wale ambao mko tayari kulishwa uongo wa aina yoyote ile na mtakaa kimya na kuukubali uongo huo kwa sababu tu hamtaki kufuatilia mambo mbali mbali yanayoendelea nchini. Ungekuwa unafuatilia ungejua kwamba kesi hii iko mahakamani siku nyingi kabla ya mtukufu wa Ikulu kuingia madarakani na kusema ukweli kwamba ni uongo kutaka kumpa sifa Magufuli hakutuondoi kwenye mjadala husika. Kuwa mfuatiliaji wa mambo yanayohusu nchi yetu ili uweze kugundua uongo wa aina moja au nyingine. Na hii si ligi Mkuu kuufanananisha mustakabali wa nchi na ligi ni makosa makubwa sana.

Sawa baba wa ligi...
 
Duh! Ama kweli akili ni nywele kila mtu ana zake.

Hata ikitafsiriwa ni wachache wataelewa sana sana watakuja kina Salary Slip kuhara humu na kuharibu uzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…