Barrick Group (64 vacancies)

Usiangalie rudi tena usome.
 
Ila all in all, watakuwa ni matapeli tu hawa... we ushaona wapi start up company inayoanza operation ina ajiri watu 64 kwa mkupuo?
so start up business zote capital ziko sawa...usifananishe individual na kampuni...kwanza we wakutapeli nini? kwani ni mtoto huna ufahamu. apply utulie...mnapenda kuwa wajuaji
 
Nani ametapeliwa hapa? Hakuna
Nani ameombwa hela hapa? Hakuna
Wamesema wao ni wale Barrick wa madini? Hapana
Ukituma CV tu hela yako mfukoni inapungua? Hapana.

Wabongo bana......[emoji51]
 
Nani ametapeliwa hapa? Hakuna
Nani ameombwa hela hapa? Hakuna
Wamesema wao ni wale Barrick wa madini? Hapana
Ukituma CV tu hela yako mfukoni inapungua? Hapana.

Wabongo bana......[emoji51]
Kuna jamaa kaniambia alituma CV baadae akapigiwa simu kutoka Kenya kuwa atoe hela.
 
Kuna jamaa kaniambia alituma CV baadae akapigiwa simu kutoka Kenya kuwa atoe hela.
Alipigiwa simu na hao Barrick au? Na aliambiwa atoe hela ya nini? Mwambie akupe maelezo vizuri ili kama ni hawa hawa basi watu wajue. Tangazo limetoka juzi tu na hata deadline bado, huyo mtu amepigiwa simu lini?

Lazima tuwe makini na utapeli lakini uzushi na kuassume pia sio kuzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…