MAKALI ONE
Member
- Aug 29, 2019
- 12
- 10
Usiangalie rudi tena usome.Hawa ni matapeli, madini hayahitaji kuwa na watu wa mikopo, hao credit officers wa kaz gani?watu wa marketing wa kazi gani?watu wa customer service wa kazi gani?mabeberu wakija kuchimba wanajua wapi yalipo masoko yao.
Tangazo lao lina mapungufu mengi sana.
Hawa ni matapeli, Kindly be informed